Jaman tuwe makin Sana na vitu kama hivi , unaweza ukajikuta unaingia kwenye matatizo bila kutegemea na hii ndo shida ya sisi watanzania na inatuponza sana unakuta mtu yupo serious kabisa anasoma comment yangu badala aandike ya kwake.
2026-09-10 14:46:43
7
juma paskazia :
unajua nacheka nini 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-10 11:51:26
3
MR. BANIGA :
hapo ungemueleze concept ya Electrical appliances rating and Billing 😂😂😂umchanganye zaidi
2026-09-11 21:39:41
1
Mango ADS :
Ampia 😂😂😂🙌
2026-09-10 10:59:37
5
@hashemSule :
dah ila nyumba za kupanga ni jau sana yan unakuta mtu watumia taa 1 ns kucharge simu mwisho wa mwezi utoe teni,dah?
2026-09-10 14:28:24
5
TALAMBE HOUSEWARE :
ohm's law
2026-09-12 14:30:30
0
Op Msenegal :
hata mm ampia za elf kumi s lip wakata ampia natumia mbili tu
2026-09-10 02:52:51
5
Mr .comment💯 :
ety vimekonectiwa parrarel
2026-09-10 14:55:47
2
phales chisele :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
daaaah aisee