@lovingjesus__fellowship: MOYO ULIO VUNJIKA BWANA HATA UDHARAU: Minister - @Goodluck Gozbert Worship with us every Friday Contact +255 762 276 505 #LovingJesusFellowship #GoodluckGozbert
Wakati namimba niliomba sana mwanangu awe mpole asiwe kilizi guess whaaaat! Ninamtoto mpole sana
2026-10-17 14:35:57
109
@Aliyssa collection 🇹🇿🇨🇩 :
kwel wanasikia kama familia moja iv ya nigeria yan nawafatilia san
2026-10-18 14:51:14
6
Madega Naah :
Kumbe ndo maana mwanangu anaangalia series za kikorea na nyimbo ZA kihindi
2026-10-18 17:15:42
11
binti Batare Mwakalinga :
kweli ata mimi mwanangu anaimba mimi nipungue wew uongezeke ndo nyimboyake pendwa nilishangaasana but ❤️🙏🙏🙏
2026-09-28 17:42:25
49
Mama B🥰❤️ :
kiukwel mm wangu nilikuw napenda San kuskiliza mahubili mbali mbali nilikuwa napenda San kuomba na kwenda kanisan, amezaliwa the moment nikaanza kuomba au kusikiliza mahubili ht km alikuw analia au anacheZa ananyamza kmya had yaishe yaan n MUNGU t
2026-10-17 17:58:56
17
Halima Kisumu :
nilikua mjamzito nikawa naenda kwenye kioo nikawa namwimbia wimbo mtoto ambaye yuko tumboni nikufrahi nakuimba kama nMuona hivo nilikuja kuzaa yule mtoto alifariki iliniuma sana siku moja nikaota niko kwenye kioo namtoto mzuri sana wakike naimba zile nyimbo nilozo kua nikizimba nikiwa mjamzito
2026-09-10 12:41:22
13
Appierge :
kweli mm wangu akilia nikimsikilizia ananyamaza
2026-09-10 06:36:06
10
Believe Geofrey :
this is real
2026-10-17 08:51:36
4
inakusilajuma :
ndivyo ilivyo
2026-09-09 19:16:51
8
Evelyn Lissa :
hakika ndoomaana muda wote tunatakiwa kuwa wenye moyo Safi baadae ya watoto iwe imenyooka
2026-10-18 04:19:52
4
solanji :
2026-10-18 00:53:28
2
G012 :
Yeah, hata wanasayasi walisema ivo ivo
zuri sana
2026-10-17 14:17:00
3
MISS E💞 :
hii ni kweli 🙏🙏🥲🥲
2026-10-03 03:57:28
3
marjay :
nikweli ata mimi imenitokea jamani😭😭
2026-10-05 08:04:18
4
julianah :
Amen mtumishi wa Mungu
2026-09-09 19:42:54
3
tully :
nimependa huu ujumbe huu
2026-09-10 12:29:37
4
moza :
hii kitu ni kwel nakumbuka kipindi Nina mimba japo nilikuwa sijaokoka nilikuwa naskiliza nyimbo za huzuni ikiwa mimba ilikataliwa ninachomshukur MUNGU nilikuwa naskiliza Gospel za kidunia ilikuwa kwa uchache sana huwez Amina sasa hivi mtoto wangu anazipenda nyimbo za aina hiyo ya huzuni ila ni gospel
2026-09-30 07:01:33
4
chuxe :
amen mtumishi wa mungu
2026-09-28 17:08:55
4
Dimercia @Am🙏👏❤️🌹💕💗 :
Amen🙏
2026-09-28 13:57:31
1
Irene Jovin :
amen mtumish sn mtumish
2026-09-10 10:27:11
2
lendoi's daughter :
barikiwa mtumishiii jmn
2026-09-28 18:23:15
1
samwel :
Amen 🙏
2026-09-10 02:46:22
1
jacky :
ni ukweli sana
2026-09-10 17:54:43
1
Rozary Justin :
nimimi huyo nikiingia kwenye naomba mtt nae anaomba na hasahau kuomba usiku akila akishiba anasema Asante mungu kabla yakusema Asante mama au baba namshukuru mungu kwa huyu kijana
2026-09-29 05:26:35
1
Sumayyah :
Watoto wanasikia, ongea nae kama unaongea na mtu mzima, maneno mazuri ya upendo,
2026-10-19 20:09:58
1
To see more videos from user @lovingjesus__fellowship, please go to the Tikwm
homepage.