@ali_wisdom: Ewe Mola wangu, usinifanye niwe mzigo mzito moyoni mwa mtu yeyote, na uniepushe na kila mtu anayetamani niwe mbali naye, hata kama ni mtu wa karibu zaidi na moyo wangu, usinifanye niwe kero kwa yeyote, wala usiniweke mahali ambapo uwepo wangu hauhitajiki. Hakika Wewe ndiye Mjuzi wa yaliyofichika ndani ya nyoyo na unayajua yale ambayo sisi hatuyajui. #creatorsearchinsights #viralvideo #foryou