Allah akbar
hawa mabwana nishida na mtihani mkubwa sana Allah ametusalitisha na hili balaa wallahi. Allah atusuru nao.
2026-09-09 19:58:22
0
Al Maaruf Dokta Hajejia :
subhanallah
2026-09-09 17:39:37
0
sheikh Ibrahim Said :
hawezi kusema Bin Taymiya kwenye mambo yake ya duniya waeza kukosa...
awe Sawa na Mtume yani😢
Je atakubali kwamba kwenye badhi ya Fatwa zake amekosa...
2026-09-09 18:55:30
0
waliyyulla990 :
mitihani mikubwa Allah atuongoze zaid soteni
2026-09-09 19:13:15
0
alifoalide (مضاف). :
Allah akuhifadhi.
2026-09-09 17:44:45
0
AnswarMuhammad001 :
he!haya sema MTUMI ywajua ghaib utakipatapata!
2026-09-09 17:34:52
0
VIBING WITH GAUCHO :
2026-09-09 17:55:09
0
Issa Rashid :
نسأل الله لنا ولهم الهداية
سبحان الله
2026-09-09 19:32:42
0
Abu Asraa :
lete silaha mpwawa twasoma pole pole
hao mtume wao ni ibnu TAYMIYA
lkn ustadh said watupa vitu adimu
mungu akupe umri mrefu
2026-09-09 18:31:24
0
VIBING WITH GAUCHO :
hawa watu ni msiba mkubwa wallahi
2026-09-09 17:55:35
0
MJIU WA T.A.TZ :
baaraka llaahu fiyka afadhali ustaadhi ufanye hivi maana mawahabi wamezifisana kuwa na kiburi cha kujiona wao wapo sahihi kwa kilajambo,
nakuomba ukipata muda ututajie zile hadhi zilizowataja hawa Watu na chanzo hao ili tufaidike zaid
2026-09-09 18:56:02
0
To see more videos from user @saeed.omar.alshir, please go to the Tikwm
homepage.