Subhanallah,Audhu billahi min dhalik, indeed this is very sad 😔
2026-09-14 18:38:27
0
mtakadzee :
Aslam alkum sherk ninaswali japo halihusiki na hii mada Kuna mtu na mdai pesa yangu lakini kila nikimuuliza anasema ni subiri afe wazazi wake ndio wanilipe na kazi ninayo ifanya ni kuhudumia waarabu na ata yye alikuwa huku anajua madhara ya Hawa watu ni fanyeje Hilo deni nila miaka mitatu ssa
2026-09-09 21:05:59
1
Ahlam Mohammedi :
mm natamani ningepata kazi nyumbani ili kukidhi mahitaji na familia yangu ili niweze kukaa na mamangu lkn 😭😭😭
2026-09-09 19:53:02
7
michyk :
true story familia za kiswahili Zina vituko sana
2026-09-10 17:26:32
2
midiibakar :
TUWATENDEE WEMA WAZAZI WETU
ALLAHU AKBAR
2026-09-15 19:23:44
0
madinaabdallamadi :
Moyo wa Mama,tumbo la uzazi,tunawalaumu ila tunapozaa watoto wetu tunawaelewa 😭😭😭😭
2026-09-13 19:12:03
0
Uncle Uncle :
Allah atupe uongofu tuishi kwa wema
2026-09-12 07:49:38
2
Einot2 :
maashala Allah akubariki kisa kinamaana nzuri sana watu wanaumiaa MNO mnoo
2026-09-10 13:03:35
0
farhiya :
subuhallah
2026-09-14 15:43:25
0
Mariam Dimwai :
ALLAH HU AKBAR
2026-09-15 12:01:18
0
uomilfat :
Kama tadinu tudani
2026-09-13 16:20:36
0
user861531450786 :
Allah atusahilishie wazazi wenye watoto wa kiume ni mtihani kwa hakika
2026-09-10 12:36:57
1
dadi abdallah :
Masha alllah
2026-09-09 17:25:47
0
hawa muchelule :
Allaho Akbar
2026-09-10 14:27:32
0
khadija k :
wallah ukiwa na imani utakachokifanyia mwenzio hufimpaka likufike huezifanyia mwengine,
2026-09-10 12:35:56
0
da isha :
allah akbar
2026-09-09 18:40:09
1
a :
kweli kabisaa
2026-09-10 07:47:50
0
rishna :
الله أكبر
2026-09-10 07:03:14
0
Garden lover ❤️🇹🇿 :
Kama mama hana amani kwa kuwa anaish peke ake basi hata kuwa na mara 2 pindi atakapoish na mkwew sisi wetu anaishi peke ake ila amechukuwa wadg zetu wawili wa mama mdg na mjomba ili awe na watu ndan mana sisi sote tumeolewa na mama bado ni kijana na ana wadg wengi wa kumtembelea
2026-09-16 01:04:56
0
khadijanasoro :
Subhanallah 😭
2026-09-16 09:52:35
0
Liin56 :
mm kma mtoto wa kike naja kutoa katika hiyo nyumba ya mamangu bila kumwambia brother yangu , alfu nimueleze huyo mke kuwa hiyo nyumba sio ya mumewe
2026-09-10 09:36:15
0
Bint Ammariyye as Teacher :
subhanallah
2026-09-10 07:47:55
0
To see more videos from user @mbtvkenya, please go to the Tikwm
homepage.