alafu anatokea mbwiga mmoja ameshiba maharage,..et anakwambia bora ukutane nyati kuliko ukutane na simnba,..iv mzik wa nyati mnaujua vizur
2026-09-10 04:08:49
84
Adam Mike 🇹🇿 :
Na ndio mida mizuri ya kuchanja hiyo
2026-09-09 18:07:58
63
Discent :
big G wanatoa wap
2026-09-10 05:22:27
39
Patrick Petro :
wafungwe jela😊
2026-09-09 17:45:27
88
Eruoti. Mela :
I love how he is explaining 😂😂
2026-09-12 21:59:50
3
Ⓜ️iondoko🥶🔞🚭 :
Kumbe kuna wauni adi wanyama
2026-09-09 19:00:54
36
size 36 :
soda wanatoa wapi na karanga
2026-09-09 18:45:02
46
Hassan Gunguti :
wanyama wanavunja Shelia 😂😂😂
2026-09-09 18:28:35
13
D :
Ah babu mirungi lazima 😂😂😂😂
2026-09-13 06:14:15
0
chazzkibule5 :
bola tukutane na nyati ila sio simba bana maana ata uyo nyati anamuogopa simba
2026-09-12 16:17:09
7
Man Solo scareface :
magura ayo😂😂😆
2026-09-09 17:24:22
10
@said_matobhel0 :
sas kama wa nyama wakula madaw sis n nan tusile
2026-09-09 17:18:49
16
NABRUYNE16 :
Jaman tuwe makin Sana na vitu kama hivi , unaweza ukajikuta unaingia kwenye matatizo bila kutegemea na hii ndo shida ya sisi watanzania na inatuponza sana unakuta mtu yupo serious kabisa anasoma comment yangu badala aandike ya kwake.😂🥲😂
2026-09-10 09:54:03
11
Cocomelon :
sasa si hawatalala 😂😂
2026-09-10 10:35:50
7
Azizi Kibera :
45 tujipange tupate mmea
2026-09-10 06:15:11
5
lonely boy2 :
sema chuga. ni chuga yaani Hadi wanyama wanakula mkokaa ni hatari saana KARIBUNI sana U S ARUSHA🤣🤣🤣
2026-09-10 08:28:07
9
Juliana.. Joseph :
duuu!
2026-09-09 17:46:28
7
Joshua 🇲🇼🇹🇿 :
Mimi wa kwanza
2026-09-09 17:18:21
5
@Godchriss :
😅😅 wahuni haao
2026-09-09 18:22:31
6
Annet John :
gomba wakonazo🤣🤣🤣
2026-09-13 00:53:51
1
bellah ivy :
bag ni ya nn?😂😂
2026-09-11 20:04:57
3
LUNA :
Wafungwe
2026-09-12 00:55:32
0
Henry_Ngowi :
washtakiwe mamae
2026-09-11 07:59:07
1
Robson :
fikiria huku kenya tunakula na police
2026-09-12 16:46:47
1
Raham kibinda :
kwahyo hao tunawapa namba ngap baada ya 26, 35, 45.
2026-09-10 18:45:16
4
To see more videos from user @mm.wanyama, please go to the Tikwm
homepage.