@alphakizzymedia: Karibuni @princenillan & @princess_tiffah Timu ya mapokezi ipo tayari Uwanja wa ndege wa Julius Nyerere kwaajili ya kuwapokea Watoto wa @diamondplatnumz wakitokea Africa Kusini kuja kushuhudia 40 ya Mdogo wao Endelea Kufuatilia Pages Zetu @wasafitv & @wasafifm Kwa Updates Zaidi kuelekea 40 Ya Mtoto Wa Diamond & Zuchu pale St. Laurent Garden, Kawe, Jumamosi hii Sept 12. #WasafiMedia #MwanaKakua