@official.nunu8: USILALE BILA KUSOMASURAH HII Inakuokoa NaFitna ADHABU Ya Kaburi... |๐ฒ Follow: @ahlulbaitmeda ุนููู ุงูุฅูู ูุงู ู ุงูุตููุงุฏููู (ุนููููููู ุงูุณููููุงู ู) ููุงูู: ููุงูู ุฑูุณูููู ุงูููููู (ุตููููู ุงูููููู ุนููููููู ููุขูููู): ยซู ููู ููุฑูุฃู {ุฃูููููุงููู ู ุงูุชููููุงุซูุฑู} ุนูููุฏู ุงููููููู ู ูููููู ููุชูููุฉู ุงููููุจูุฑูยป "Kutoka kwa Imam Al-Sadiq (a.s) kasema: 'Kasema Mtume wa Mwenyezi Mungu (s.a.w.w): Yeyote anayesoma Surat At-Takathur [Alhakumu Ttakathur] wakati wa kulala, atalindwa na mtihani fitna Adhabu ya kaburi. ๐ (Chanzo: Thawab Al-A'mal, Uk. 125) Surat At-Takathur ni Surah fupi yenye Aaya 8 tu. Kuisoma hakuchukui hata dakika moja, lakini faida yake ni kukukinga na mitihani, hofu, na adhabu za ahera (Kaburi). Hifadhi (Save) post hii na Share na familia au rafiki zako ili iwe ukumbusho wao wa kila usiku Alhamdulillaah ๐๐พ๐๐พ๐ค๐ค