@asilinahalisi: Wanaitwa WASWAHILI Wimbo unaitwa PENGO 💥 Hii ni verse ya pili. Elimika, Hamasika na Burudika 💥 #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿 #bongofleva #zanzibartiktok
ASILI&HALISI
Region: CD
Wednesday 09 September 2026 17:47:20 GMT
Music
Download
Comments
Octavian Wailesi :
back to time🤛🤛🤛
2026-09-10 11:39:24
0
Musa Msagati :
kaka unajua
2026-09-10 08:22:23
1
Siha ICT solutions :
zamani hiyo, kulikwa amna matusi kwenye nyimbo
2026-09-10 08:19:57
1
Richgang Ngereja :
sorry broo nyimbo Inaitwaje
2026-09-10 06:32:25
1
NDEMBO :
Umejipanga sana umeweza babu
2026-09-10 06:39:43
1
mchujanafaka :
wimbo unaitwa Pengo
2026-09-10 07:10:21
0
Ismail Zuber :
kila la kheri baba stiven kanumba,tangu ulipoondoka bongo movies inayumbayumba,
2026-09-10 07:31:57
1
Wachekeche :
na wakumbuka sana awa majomba Sema nyimbo inaitwaje
2026-09-10 06:52:45
1
George Boniface :
hawa jamaa bado wapo kweli...daah lilikuwa bonge la meseji kwenye hii nyimbo
2026-09-10 08:47:47
0
HASSANI YUSSUPH :
kitambo sn hii ndy miziki ya ujumbe waswahili naludia zaid ya × 6
2026-09-10 11:31:18
0
The Dark Moon :
noma sana
2026-09-10 09:45:03
0
Jafari Elifas :
safi sana mzee
2026-09-10 07:28:14
0
Hassan Omar :
hii kali
2026-09-10 06:44:16
0
Gabriel haule :
Atali Sana ndugu 👌👌🌹
2026-09-10 07:19:01
0
DALALI GEITA PG 0754887273 :
ngoma kali kinomaa😁😁😁😁
2026-09-10 07:04:16
0
YUNDAK_UMEME✅ :
wazee wenzangu mnanikumbusha mbali sana
2026-09-09 18:50:49
0
Amosi Daniel :
kila kitu kipo wazi hapo mziki mtam jamani
2026-09-10 07:30:08
0
kada bira :
mzuka tu😅
2026-09-10 08:02:03
0
rajabu halfani :
umeuwa
2026-09-10 06:36:24
0
Wosteal :
hii beat kwa kweli bone luv aachwe
2026-09-09 21:16:55
0
cmnenuka :
noma
2026-09-10 04:40:39
0
Mr.NOBODY :
good music
2026-09-10 04:53:27
0
Dickson Oduor :
nomaa sana kaka
2026-09-10 04:00:13
0
Becka kitatile kitatinho :
duuuhhh enzi muziki ukiitwa muziki
2026-09-09 18:55:59
2
Nas lee :
verse ya pili Alipita nayo Sadat ucsahau kwenye Chorus yuko Mangustino kipindi hko yuko Beta Musica kabla hajawa Mwl pale THT !
2026-09-09 19:55:31
1
To see more videos from user @asilinahalisi, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.