@dr_daniel_md: 🚨 UMEPIMA HIV UKAPATA POSITIVE? USIPANIC! Kipimo kimoja kusema “POSITIVE” hakimaanishi umefika mwisho wa safari ya utambuzi. Kuna utaratibu maalum wa vipimo unaopaswa kufuatwa kabla ya mtu kuthibitishwa kuwa ana HIV. Kwa hiyo, usilie, usimlaumu mwenza wako, wala usifanye maamuzi makubwa kwa sababu ya kipimo kimoja tu. 👉 Kwenye video hii nimeeleza nini kinapaswa kufanyika baada ya kupata majibu ya positive. #HIV #HIVTesting #HIVAwareness #afya
kipimo cha kwanza bioline positive then Arv for 4yrs first response not dectable. unigold negative. then back to bioline positive. ni vpy hapa.
2026-09-10 04:07:38
0
princesslora70 :
Kuumwa malaria tu kidg hizi video zishaanza kuniandama🙌
2026-09-10 11:24:11
4
L.R eclipse :
ogopa matapeli
2026-09-09 18:42:58
10
Omary Juma :
Dawa ni KUACHA KABISA ZINAAA BASS🥺
2026-09-10 02:12:40
13
lovejac8 :
Aisee yamenikuta. nilikua natabia ya kupima mara kwa kwa mara Nikakutwa positive na nilipima dispensary akili ikaruka nikajua nimeshaathika. Nikanunua kipimo nikajipima nikaona negative ila nikaamini majibu ya dispensary. mwaka Jana nikapata mimba nikaenda hospital kubwa nimepima kipindi chote cha ujauzito niko negative nanyonyesha na nimepima Sina maambukizi
2026-09-09 23:42:32
5
user7645984935333 :
kwaio mnachoktaka nn ??? au mtu akipima lazma aktwe navyo
2026-09-10 09:52:57
1
Double dee💕🤲 :
Mungu nilienda na hili gonjwa naogopa dawa za kila siku walh
2026-09-10 06:36:17
3
AgneseCharlz :
me nilienda kupimà nikaambia nna VVU lakn cha ajabu nilipita nao wote hakuna alowah kuwa nao, baada ya muda nikaenda kupima kwa PCR alooooooh majibu c yakatoka negative,, kumbe ila RDT ambayo inaingiliana na magonjwa mengine
2026-09-10 07:28:28
2
🌸 BELLAH DJUMA ✅️ :
naomb namb yako tuongey whastapp
2026-09-10 10:12:23
0
ester_mayaofficial :
inakuwaj muwambie watu wanaukimwi na hawan jaman
2026-09-09 21:03:44
1
swarty jr :
sio new algorithm bhana iyo ilikuwepo Toka 2018 huko mzee ilikuwa ni sd bioline,determiner na unigold na ndo imerusishwa tena mwaka huu 2026 maan hapo miaka ya nyuma algorithm 2023 ilibadilishwa ikawa SD bioline na unigold..ko docta sio mpya ilishawai kutumika@ then ungetuelezea hiyo SD bioline , determiner na unigold in term how to detect HIV kwa mgonjwa na why tuvitumie ?
2026-09-10 00:05:55
1
chi💕mami🇹🇿llioni💵 :
Je kama nimepimwa dam kubwa mara 2 na imekuja ninaukimwi? Yn hospital tofaut je niamini ama
2026-09-10 04:41:01
0
w.fire :
kipimo cha 3 ndicho anachonipimaga bwana wangu kila ninapo kutana nae
2026-09-10 08:36:25
1
Bahat :
Dr utofaut wa huo vipimo vyote n ipi
2026-09-09 20:16:00
0
HOPE Styles 🥼 :
Mbona umechelewa kusema sasa 😅😅
2026-09-09 20:57:33
0
young mechanics🚘🛥 :
tuseme mkenda spital mkipima mkaambiwa hamuna mkaoana na mumepimwa kimoja tu cha mwanzo maana yake mnatest hmn uhakika na afya
2026-09-10 06:10:29
1
FEBRONIA PAULO :
mtajua nshapima cn na sirudiii kupeana mawazo tu😔😔
2026-09-09 20:23:46
2
nonstop :
vichunguze hivyo vipimo vyote ni kitu kimoja
2026-09-09 22:26:20
1
Charles Mica :
Two test
1.Sd bioline
2.Unigold- Confirmatory test(Only if SD bioline is reactive)
2026-09-09 19:30:43
6
MUGANZA CHATO :
Asante mwalimu mim nitakuita mwalimu nashukulu Kwa somo
2026-09-09 18:47:41
2
Baby Nia :
Sasa awa wanao fos kupima watu au wapenzi wao majumbani wanaaminika vipi kama wenyewe wako sawa
2026-09-09 19:44:38
1
asha killinga :
hicho first response hatujakiona
2026-09-09 19:19:25
1
Midten fashion :
content zako znafanana na doctor noel sas sjui mnaigana[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-09 19:20:47
1
Captain_MP :
Kwa hiyo Tusipimame twende kavu kavu?
2026-09-10 13:03:00
0
waziah ezekia :
vipi mimba
2026-09-09 20:03:34
0
To see more videos from user @dr_daniel_md, please go to the Tikwm
homepage.