@simukitaa: HATIMAE…. Apple kwa mara ya kwanza wameitambulisha iPhone ya kijikusha inaitwa iPhone Duo Mwanakitaa nini maoni yako kwenye ujio huu wa iPhone ya kujikunja? Tunawakumbusha Tu sisi tushaanza Kupokea Pre Order Za iPhone 18 Series Kwa Wanaotaka kupata hizo simu mapema .. Unasubiri nini mwanakitaa?!!! #Sanukakitaani #Simukitaa #ijuesimuyako #Tech
Simukitaa
Region: TZ
Wednesday 09 September 2026 18:08:02 GMT
Music
Download
Comments
Ney Kazungu :
Hizo iphone18 series ndo shingap?
2026-09-09 19:17:54
2
Jeybae💞🦋 :
Nipo 11 to 18God have mercy ooh🙏
2026-09-09 18:57:41
0
trill :
hii iphone duo ni hatarii💯
2026-09-09 18:11:00
3
mamen sparrow :
iphone duo is good 👍👍👍
2026-09-09 20:04:22
0
mariana..collection :
Why wanaiga sana Samsung ?!
2026-09-09 19:44:51
1
I am Big Boss 💼💰 :
Sim ya kikulungwa sana
2026-09-09 19:12:22
2
Marry🥰 :
mwanakitaa hii cm nitamiliki niombee
2026-09-09 18:19:35
1
Anarecho brighton :
mwanakitaaa nipo nawewe
2026-09-09 18:13:52
2
dully_madini :
FREE FIGO😂 FREE MADEMU ZETU🤯
2026-09-09 20:30:21
0
6wery :
Mbaya mbona 😂😂
2026-09-09 19:22:32
1
Jeff muasi :
n atar asee
2026-09-09 18:27:39
2
Silent Mentality :
Watu wa iPhone mupo nyuma ya mda Sana 🤣🤣🤣
2026-09-09 18:56:17
1
SAGUTI LAPTOP 💻 :
Nanunua figo😁
2026-09-09 19:20:55
1
Its_ric💫 :
🔥🔥🔥
2026-09-09 18:09:52
2
FATEE💞 :
🔥🔥🔥
2026-09-09 18:20:28
2
MILLIONAIRE_CAP :
❤️
2026-09-09 19:16:40
1
To see more videos from user @simukitaa, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.