People know exactly what they’re doing, so believe what they show you, it’s always calculated.
2026-09-10 00:09:22
25
Ngari Mkubwa :
Alikiba is watching
2026-09-10 07:29:41
0
kajala 1@one phale 🥰💫💦✌️ :
you're right
2026-09-10 06:55:06
0
lastborn🐹 :
Huyu ni mimi kosa kdg naanza kupanga maisha bila ww 😂😂
2026-09-10 05:27:50
65
E.d.i.n.a💦🦋 :
Muwe mnaangalia vedio mpk mwisho jmn😅
2026-09-09 20:11:27
56
Ratifa Rajabu :
Habar yako niffer mm jina langu n raifa nina shida naomba unisaidie kuna mwanaume nilikutana nae mtandaon nilikuwa naish tunduma na yeye anaish tanga tukawa kwenye mahusiano alionesha kunipenda badae nikapata mimba kwa sasa mtoto ana miez sita miez miwili nyuma alinambia nihamie tanga pamoja na yeye nikauza vitu na pesa alizichukuwa yeye hapakuwa na tatizo kwa kuwa niliamin n mme wangu lakini amenigeuka ana wanawake kila kona haachi hela ya matumiz na mm huku n mgen sina ndugu sina mtu ninaejuana nae nilikuwa naomba nauli nilud tunduma nipate na ela ya chumba ili nikaanze maisha na mtoto wangu ningeludi nyumban ila sina wazazi tumezaliwa wahili tu na kaka yangu hana uwezo nakuomba unisaidie na mungu atakubaliki nafikilia hadi kumutelekeza mtoto kwa kuwa naona sina cha kufanya akili imefika mwisho nakuomba unisaidie namba yangu ni 0610941131
2026-09-09 18:35:22
25
🍀feyvinyly🖇️ :
Nakupend da niffer.. Ur my role model from now onwards 🥰🙌
2026-09-09 22:43:24
1
Jeby_💜 :
jifunze:
Ni: INNALILLAH WAINNA ILAYHI RAJIUN
sio : INNALILLAH WAINNA lilahi RAJIUN.
hii ni Aya ya Qur'an so itamke ilivyo .
asante
2026-09-09 22:26:20
49
Getruda Martine :
nikweli dads
2026-09-09 19:02:51
0
Dr dorcas :
familia kabisa 😂 they better watch your back 😏
2026-09-10 04:18:08
0
ndibasa14 :
Hi dear your number for business
2026-09-09 19:31:57
1
DIBRO_HAIR_ESSENCE :
niffer kumbe ni overthinker[Innocent]
2026-09-09 19:22:27
7
fay🥹❤️ :
Da niffer umependeza na hiyo suruali🥰
2026-09-09 18:30:27
23
Lucy Fashion hub :
Umependeza my nahizo nywele ✅
2026-09-09 18:36:21
11
queen-essentials :
watu wenye roho nzuri ndo hulka yao huwa hawarudi nyuma
2026-09-09 21:51:06
16
BUKOBA FASHION :
binadamu hawawazagi yule.mtu atajisikiaje, itamuuma vip mtu anakufanyia jambo mpaka daaah
2026-09-09 18:34:58
32
its_xoxo_grl 🇾🇪 :
fact
2026-09-09 18:14:18
5
Traveller :
mbn una zidi kua mzuri 🥺
2026-09-09 18:25:07
14
espléndida🩷 :
Ikifika 1k mniite
2026-09-09 18:15:45
28
Zuu baby :
nampenda sana uyu dada anatua akili na sio hisia🙏🙏
2026-09-09 19:12:19
11
denis asnaly :
dada unaakili sana
2026-09-09 18:14:58
12
LUXURY DRIVE QUEEN AFRICA :
intention.i wish watu wawe emotional intelligence to understand this
2026-09-09 19:09:16
6
To see more videos from user @niffer_cosmetics, please go to the Tikwm
homepage.