(DSSSM)
1;Doors (Milango): Hakikisha milango imefungwa vizuri, angalia uwajibikaji, na usalama.
2; Seat (Kiti): Rekebisha kiti chako vizuri huku kukiwa na mpindo kidogo kwenye magoti.
3; Steering (Usukani): Angalia nafasi ya mikono na usukani, mgongo ukiwa na mpindo kidogo kwenye kiwiko, na rekebisha sehemu ya kuegemeza kichwa (head restraint).
4; Seatbelt (Mkanda wa Usalama): Fuata sheria za uvaaji, jinsi ya kuvaa, na jinsi ya kuuvua.
5; Mirrors (Vioo): Rekebisha vioo vyako vizuri (Flat/Convex) ili uone vizuri.
2026-11-05 03:42:46
1
Mr.kalonzo :
moja ya wahudum walionipoke hapo nyota ni huyo dada mpka nikajiona bora hongeren nyota kupitia mtumishiwen rehema kama sio ni neema
2026-09-10 10:39:52
1
Landisi Songoyo :
Asante sana kwa kuelimisha kazi nzuri sana
2026-11-07 15:21:27
0
Majaliwa Ayubu, MD :
Somo Zuri sana👏
Ukitumia mkono=Handbrake
Ukitumia mguu=Footbrake
2026-10-20 15:51:27
1
geofrey :
mnafundishana wenyewe nimependa
2026-09-14 02:14:30
2
veronica :
safi mwalimu
2026-11-06 18:43:51
0
zawadigeorgebuyam :
mwl wangu
2026-10-16 18:00:35
1
Bwendero :
Siku moja umeshajua gali
2026-10-26 07:33:22
1
peace Boaz venance 🙏🙏💓🥀💞 :
kwa harii hii nitajua gar
2026-10-03 22:14:31
1
Emmanuel cosmas :
bos.mnahudumayamafunzoya,psv
2026-09-11 09:30:58
1
❤..DAVOO Truck driver🌴🇿🇦 :
mbona una elekeza vizuli sana
2026-09-09 19:21:24
0
Rahel Anthony :
mwalimu huna makuu mwenyezi mungu azid kukutunza kwa ajili ya wengine
2026-10-04 08:57:52
1
lawrence Manfredy :
mbn umesahau kuwa ukikanyaga break ndyo unabadilisha gear kutoka p kwenda kwenye d au r ?
2026-09-11 18:27:20
2
veronica :
safi sana
2026-11-06 18:44:08
0
mbusa philemon kavutwa :
merci
2026-11-08 18:43:42
0
wisegirl :
unafundisha vizr bro
2026-11-06 15:16:17
0
MamanJJJJ. :
kweli kabisa
2026-11-07 05:24:21
0
Emmanuel Elijah Tz🇰🇪✅️ :
Kaz nzur
2026-11-06 20:28:37
0
Bimbiza jr :
nataman na mm nijifunze
2026-11-06 17:10:46
0
Official Driver Barack Eddo :
Ok
2026-11-07 17:06:42
0
IBRAHIM JULIUS.com :
uyo anaelewa mwelekeze chap chap
2026-09-09 20:32:43
0
To see more videos from user @nyotadriving, please go to the Tikwm
homepage.