ms_.monie🦋 :
Huyu mtu ni patriarchy worshipers😳😳😳love language kila mtu anayo, yaani mwanaume na mwanamke wote kila mmoja anazo,,,, sehemu za kutumika sio kwenye mahusiano ya mapenzi tu NO! Love language zinatumika kuanzia kwangu mwenyewe nakuwa najionyesha mapenzi kwa lugha yangu ninayoelewa….kuna love language tano ambazo ni Words of affirmation, Act of services, receiving gifts na physical touch!!!! Hizo zote kila mtu anaweza kuwa na mbili Kati ya hizo au moja au tatu, ndo zinakuwa rugha zake za kupokea na kutoa mapenzi,,,, love language hazifanyiki kwenye mapenzi tu ila ni kwenye mahusiano yoyote yale yawe ya kirafiki,kindugu n.k bila kusahau mahusiano Kati yako wewe na wewe mwenyewe!!! Ukisema mwanaume ndo anakufundisha love language kuna watu wengine ili aone anakupenda ni akupige kwahiyo utatulia tu????Huyu dada hapana
2026-09-10 06:39:47