@lutystar3: KILIO CHANGU Part 51 Nadia amefanya uamuzi wake. Amechagua kubaki na Dorian licha ya msimamo mkali wa familia yake. Lakini Baba Nadia anamuweka mbele ya swali ambalo si rahisi kulijibu: “Uko tayari kupoteza familia yako?” Dorian naye anasimama kwenye msimamo wake—hataki Nadia awe mzigo, bali anataka wajenge maisha yao pamoja. Lakini baada ya kila kitu kuwekwa mezani... Je, mapenzi yao yataweza kuhimili gharama ya uamuzi huu? 🔥 Usikose Episode 52 #creatorsearchinsights #DorianNaNadia #KilioChangu #lutystar #trendingreels
Lutystar
Region: TZ
Wednesday 09 September 2026 18:27:24 GMT
Music
Download
Comments
veer :
nilikua natamani enjo arudiane na dorian
2026-09-09 18:50:11
24
Fatima Hamis kingube :
Julius wangu ungekuwa km Dorian sasa hv tungekuwa tunalea wajukuu zetu ila ulishindwa baba
2026-09-09 18:36:34
19
cuttie prisy💞 :
heeeeeee jamanii nice 52 but 51 tuliowahi tupen like zetuuu please
2026-09-09 18:38:04
17
neriana allon :
nimegundua wengi tuna comment kabla hatujamaliza kuangalia story coz sijaona mtu wakusema nyama ya chini
2026-09-09 18:56:09
18
Cynthia bembeleza ❤️ :
qui est la depuis le début comme moi❤️
2026-09-09 19:01:19
8
💖Dee💗de💦empress😘 :
Nadia ogopa Brayo😅🤭utajutia
2026-09-09 19:20:50
9
wandera Gideon :
hi 👋 good night l am like you from Uganda
2026-09-09 18:43:26
6
David Tizita :
hongera sana Dorian 🤣😂😅
2026-09-09 18:36:02
6
ramso winga :
naipenda sana hii muvi
2026-09-09 18:35:41
14
Ibrahim jaz :
my dorian
2026-09-09 19:50:28
2
Emily :
Leo mi 11🥰
2026-09-09 18:34:04
8
ocs Chris jr :
walai natamani iyo episode 52 banaah
2026-09-09 19:07:52
5
💕Officially WiPa♥️ :
next plz
2026-09-09 19:37:30
3
Emmanuel :
wa10 leo
2026-09-09 18:33:45
7
goma ra kidzudza :
next
2026-09-09 18:33:20
8
DAZZY BOY :
sisi kama dorian 2 tuna msimamo bwana
2026-09-09 18:47:53
6
suzen :
Next please
2026-09-09 19:17:17
1
Julieth ♥️♥️ :
Tunaosema isiwai kuisha🤣
2026-09-09 19:02:02
5
frida@3 :
wa4 leo
2026-09-09 18:39:12
5
Destiny Pam :
Asante Dorian na Nadia❤️
2026-09-09 18:35:17
5
Vinah emmanuel :
dah☺️
2026-09-09 18:38:18
5
Moza Said :
wa kwanza
2026-09-09 18:30:27
10
Nipha baby :
jamani mtunzi wa hii simulinzi kama dorian yupo naomb unileteee na muhitaji sana
2026-09-09 18:46:07
8
ge beby :
dorian ni bwana angu mtupu🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-09 18:46:43
7
To see more videos from user @lutystar3, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.