@millardayo_: Kijana Galisel Julius Siwami (21) amefariki dunia baada ya kujinyonga katika shamba lililopo Mpinga, Wilaya ya Bahi, Mkoa wa Dodoma. Baba wa Marehemu, Augustino Wami amesema kabla ya tukio hilo Mtoto wake alimwambia Mke wake amtunze Mtoto wao kwa kuwa hatamuona tena. Baada ya kupata taarifa hiyo, alikwenda kumtafuta shambani ambako alimkuta akiwa tayari amefariki dunia, Askari Polisi na Daktari walipofika eneo la tukio walikuta Marehemu ameacha ujumbe akieleza kuwa amewasamehe waliowahi kumkosea, huku naye akiomba msamaha kwa wale aliowahi kuwakosea. Mwenyekiti wa Kijiji cha Chambinga, Hezron Mathias Mbeho amewataka Vijana kujenga utamaduni wa kuzungumza na Watu wanaowaamini na kutafuta msaada wanapokabiliwa na changamoto mbalimbali. #MillardAyoUPDATES
millardayo
Region: TZ
Wednesday 09 September 2026 18:29:19 GMT
Music
Download
Comments
Mirfaty shoes 👠👞👟 :
Shida tukiwambia watu wetu wakaribu matatizo yetu hawazingatii🥺🥺
2026-09-09 19:17:31
492
OfficiallMimi🍷 :
Mtu anafanya maamuzi awafikirii wapendwa wake too sad
2026-09-09 18:44:15
110
Andrew Mnazaleth :
tutasema yote ila marehemu ameenda na Siri zake apumzike KWA Amani inahuzunisha sana
2026-09-09 19:29:37
112
najmanajmaa246 :
nina matatizo mimi hata wa kukwambia sina nazidi kukonda na kulia kila siku
2026-09-10 14:01:28
41
MS MIRRY❤️🔆🌹 :
Dodoma na matukio saivi ni sambamba 🥺🥺🥺🥺
2026-09-09 19:06:02
84
mumy naylah 24 :
arusha mtupumzishe sasa
2026-09-09 19:02:33
50
broken009 :
vijana mapenzi yatatumlza mm mwenyw nawaza uwamuzi huw0 kwasasa😔😞
2026-09-10 04:32:22
49
DamPa :
Miaka 21 na ameshaoa, maisha aysee poleni sana.
2026-09-10 05:33:54
28
grace model :
nikajua ndo huyu baba anamiaka 21
2026-09-15 18:59:36
5
Alientz :
ata mwanza uku matukio aya yamezidi Tunaomba Mungu ainglie kati😥😥
2026-09-09 19:29:19
46
✨D3S!GN3RDJ...✨ :
MBAYA SANA MZAZI KUZIKA MTOTO TOO SAD...🥺🥺
2026-09-09 19:42:38
13
Huxx :
tatizo kwa sasa wale tunaowaamini tukiwashilikisha wanatusimulia kwa wengine.pumzika malisel
2026-09-10 06:19:32
16
Laylath Mzungu :
au mlimtukana kwenye hiko kikao
2026-09-09 19:11:16
12
official Dr jaco :
main point ya marehem tutafute watu sahhi wa kuwapa matatizo yetu na kutafuta msaada wa matatizo yetu kwa watu sahihi😭
2026-09-09 18:45:52
16
Tiffan🥷 :
Sasa alikuw n mawazo gani mbn mdogo hvy
2026-09-10 07:47:38
6
Aveline laizer :
wakati mwingine tukiwaambia ndugu shida zetu masimango yanakuwa mengi
2026-09-10 18:31:42
6
EliasjrTz :
jamani tumuombe mungu atuondolee roho za kujiua
2026-09-09 19:41:46
33
joseph samwer :
pore sana
2026-09-17 08:52:28
0
joseph abeljr :
mmmmh
2026-09-10 04:07:40
5
Tumain Boaz :
hii roho inatembea kwa kasi sanaa 😔
Mungu tuepushe na hili in Jesus name 🙌
2026-09-09 19:17:14
13
PIGA+255797035453 :
mungu atupe mwisho mwema
2026-09-09 19:00:53
15
Irene Kupaza :
polee mzee na mjane na familia pia
2026-09-10 05:41:54
5
REY :
watu tuna mengi mioyon na hatuna wakuwaeleza
2026-09-10 05:17:58
6
Stomi simon :
poleni sana mungu awatie nguvu
2026-09-09 23:07:13
6
Joseph karera :
poleen sana ndugu jamaa na marafik mungu ni mwema Kila wakati
2026-09-09 20:49:31
9
To see more videos from user @millardayo_, please go to the Tikwm
homepage.