@sheikhnurdeenkishk: "Ukitaka ndoa yako iwe imara na mpya soma sana dua hii". @sheikhnurdeenkishk Muombe Allah aijaalie ndoa yako iwe na upendo, huruma, uaminifu, subira na amani. ❤️ رَبَّنَا هَبْ لَنَا مِنْ أَزْوَاجِنَا وَذُرِّيَّاتِنَا قُرَّةَ أَعْيُنٍ وَاجْعَلْنَا لِلْمُتَّقِينَ إِمَامًا “Mola wetu! Tupe katika wake zetu na watoto wetu furaha ya macho yetu, na utujaalie kuwa viongozi wa wachamungu.” (Surat Al-Furqan 25:74) 🤲 Endelea kumuomba Allah kwa ikhlasi, kwani Yeye ndiye anayezijaalia nyoyo kupendana na nyumba kuwa na utulivu. Mshirikishe na mwenzako dua hii, huenda ikawa sababu ya kheri katika ndoa yenu.