@daniel.karume1: 🙏 Ujumbe wa leo: Unapokutana na changamoto, usiangalie ukubwa wa tatizo—inua macho yako kwa Mungu. Msaada wako wa kweli unatoka kwa Bwana, Muumba wa mbingu na nchi. Tamko la leo: “Msaada wangu unatoka kwa Bwana. Sitakata tamaa, kwa sababu Mungu wangu yuko pamoja nami.” 🙏 Amina. #gosple #viral #tanzaniatiktok #fyppppppppppppppppppppppp #creatorsearchinsights