kisheria mtuhumiwa akitii sheria mwenyewe kama huyu jamaa haikutakiwa kumfunga pingu mana pingu anafungwa mtuhumiwa alie jaribu kukimbia au kupigana na Askari yani kutokutii sheria.
bila Shaka nimemsikia uyo aliye shika pingu anamuuliza "kwahyo unakaidi sheria yetu ?"
💔hakuna sheria ya kumfunga pingu mtuhumiwa aliye tii sheria bila kushurutishwa
usisahau kutu follow #Uniquemedia_tz
2026-09-09 21:43:43
80
Trigger :
sound zimegoma[Innocent]
2026-09-13 09:14:40
0
Chriss - Tinnah :
Polisi anabembeleza mwizi afu kuna mgambo kule kaua dereva kisa kupak gari.
2026-09-10 07:33:26
34
Mr Tafakuli🤔 :
oya omba isikukute hii noma sna mungu atunusulu hakika
2026-09-10 05:03:14
17
tin soultz :
Huku Zanzibar Nn mbona wanabembeleza Mwizi
2026-09-09 21:38:06
28
Maninja Photographar📸 :
kumbe mungu ndugu yake
2026-09-09 21:39:03
13
Khan Smart Devices :
police wap romantic kweli
2026-09-10 02:18:07
2
Sarah Nyeriga :
Safi sana,nasubiri part 2 ,halafu anacheka,mkimpa upenyo anakimbia huyo
2026-09-10 04:11:41
7
yasintaa yasin :
piga iyo jana neiniwa tiv yangu alfajir
2026-09-10 04:31:59
5
Ashraf kidula⚡ :
mikosi sana hiyo kwenye maisha jamaa anaonba sana but sheria sasa
2026-09-11 01:21:26
4
Official William :
serikali yenyewe haijui sheria
2026-09-10 16:57:53
2
@Gee😍🦋 :
jman msameeni
2026-09-09 21:51:27
6
Sam :
duuh 🤔 Kwan kafanyaje huyu
2026-09-09 18:47:16
6
D SIMFUKWE1996 :
mapingu sio poa nilifungwa nikabebwa umbqli kama krmt 26 kwa pkpk asubuhi tena nikavaa kwenda wilaya huska dahaa Changamoto
2026-09-10 21:27:43
1
dullambabe1 :
pole imeniuma sana ila pole sana
2026-09-10 02:33:04
5
Frank Lucas :
mwana mstarabu sana
2026-09-11 20:38:12
1
ironmbwetejr :
kwa Aman na upendo mm na ww 🤣
2026-09-11 23:51:02
0
Azizah hamzah :
duuuh😥😥
2026-09-10 07:28:00
2
💦MrسLakyboytz並CEO🖇️Brande :
nakubali tuliyo upitia huo wakati ndo tuna jua maumivu ya pingu 🚨
2026-09-11 21:30:08
1
7Wonder 38 :
duuh
2026-09-10 04:25:29
3
yusco kabwe :
mi niliveshwa niliumia sana
2026-09-10 04:28:48
3
MC MACHALA🎤🎤 :
Allah anijalie nisije fungwa
2026-09-09 23:47:31
3
To see more videos from user @masanjadarema, please go to the Tikwm
homepage.