@gee_breezy: Tanzania yetu

George💫
George💫
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 09 September 2026 18:40:47 GMT
22090
879
140
259

Music

Download

Comments

musaharunasaidi3
mussaharuna153 :
sasa me gar naendesha lakwangu mwenyewe nitagomaje jaman
2026-09-10 12:13:13
3
user8887098536177
Justin Mwakyusa :
Najiuliza mgomo utakuepo kweli mana Kila kukitangazwa kuwa na mgomo unakuta siku imefika kazi zinaendelea hivi kwanini madereva hatuna umoja na msimamo malalamiko yetu yatasikilizwa kweli
2026-09-10 17:19:44
3
eucharist13
Eucharist :
tatizo letu madereva hatuna umoja tunaweza tukagoma wachache na wengine wakaendelea na kaz
2026-09-10 12:12:04
6
shaid0755
user4113328584962 :
HILI BOMU BAYA KABISA. JESHI LA USALAMA BARABARANI LIMEKUWA NA UONEVU ULIOVUKA MIPAKA
2026-09-10 17:11:15
2
user82529373274302
p sneiper :
29 mbali tasnia
2026-09-10 17:08:57
1
user1h5mvr1fam
Ndelema posta 099 :
Naikawe hivyo hiyo tarehe maana Kuna waajili wengine hata mushahala nikazi kuupata maboss wa tarehe 50
2026-09-10 12:40:03
1
emmanueljames7859
Emmanuel James :
ahata mimi nidereva niko tayari kudaii haki zetu madereva
2026-09-10 10:54:24
2
user1117650059195
jumaupepo :
yani hata sasaiv tuko tulianzishe2
2026-09-10 16:35:50
1
mussa96718
mussa :
shida yetu atuna umoja taalifa imesha tolewa lakini ikifika iyosiku utakuta watu wapo balanalni wanaendesha Magali nawakati ni kwafaida yetu madeleva
2026-09-10 13:23:26
1
kapandajr7
kapandajr :
twende pamoja tutashinda
2026-09-10 12:46:34
1
kimani.kazimoto.m
Kimani Kazimoto Molell :
tutiii agizo bila shuruti wote tunatafuta haki na usalama wa maisha wetu🥰🥰🥰
2026-09-10 13:37:09
2
noel__tz
NOEL__TZ🇹🇿🇿🇲🇨🇩 :
Hapo kidogo tutapumua maana mateso kilakona hatupumui 👀🥹🥹😢
2026-09-10 16:21:34
1
haule.michael
haule michael :
tukiwa na umkja tutashinda
2026-09-10 12:48:12
1
gkaduma
Super G :
kuendeshwa kama watoto tumechoka sasa gari tunaacha
2026-09-10 13:54:21
2
exaudkadu
Exaud kaduma :
tuwe na umoja jaman
2026-09-10 10:38:57
2
tiktok.commbeleyamda
ZUNGU JR999🇱🇷🇱🇷✅✅ :
umoja ni nguvu💪
2026-09-10 08:52:33
2
faustinemzee
mzee simeo faustine :
safi sana bunge wafute hiyo sheria
2026-09-10 11:48:08
1
victorlyimo25
mr :
naona police sasa wanataka kuwa madereva wao
2026-09-10 07:26:53
2
fadhili.mboyi..de6
+255🇹🇿🇰🇪🇺🇬 :
hata sasa ni kila dereva anapoona hii post ajaribu kushere kwa wengine muda wa comment haupo jamani
2026-09-10 11:24:42
3
user4278778553851
mtanga zoka kulu :
udereva basi tunasitisha huduma kama nikwenda kuendesha waende waendeshe police maana sheria zahiichi tusha zichoka
2026-09-10 09:11:38
2
emmanueljames7859
Emmanuel James :
hivi tushii vipi sisi madereva bona mambo yanakuwa mengi saaana sisi maderva
2026-09-10 10:57:17
1
andrewasamwely9
G 8 :
ewa
2026-09-10 11:27:12
1
mr_lonely96
Ramaa :
kwahili hakuna namna sababu linamlenga kila dereva
2026-09-10 18:03:30
1
ranadhanirajabu
R50 :
Madereva tubadilke sasa tuache ujinga serikali haitaki madereva kila ajali ni dereva barabara zao mbovu hawaoni
2026-09-10 12:09:28
1
said.mbwana2
Said Mbwana :
mh.👏
2026-09-10 10:02:19
1
To see more videos from user @gee_breezy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About