jana tu nimelia ad machozi yameisha Mungu atutetee sanaa
2026-09-10 07:44:43
0
mars :
ndo nachopitia sahiv yaan sasa hv
2026-09-12 15:06:54
0
pretty_maiyah_ :
Kabisa 😭🙌
2026-09-11 21:39:51
0
Queen siriwa :
Mwenyezi Mungu naamani ipo siku utanikumbatia na kunifuta machozi 😭😭😭 na kuniambia mwanangu sasa inatosha🙏🙏
2026-09-10 14:01:36
0
Eve🥀 :
na mda huu nipo nalia we acha tu na ukiniuliza kipi kinaniliza siwezi hata kukuambia make hata mm mwenyewe sijui😭😭
2026-09-10 06:47:04
0
G...............=3 :
tulilia saaan Hadi tukazoa shida na changamoto tukaona haina haja tena ukisha kua sungu kwenye matatzo ata tatzo lije la namna gan unaona la kawaid na kuendelea kupambn zaid
2026-09-10 07:49:47
0
khadija fadhil :
2026-09-10 08:56:51
0
Tedyi Kajara :
Na una ata mtu wa kumpigia akakupa faraja
2026-09-11 08:15:44
0
stica 🦋 :
Mungu atutete sisi wanyonge😭😭😭
2026-09-10 11:09:08
0
Nei🐇🐇 :
Mioyo yetu inabeba vitu vingi 😏
2026-09-15 14:23:57
0
AGGY PERFUME ❤️❤️💗 :
😢😢
2026-09-10 07:15:19
0
To see more videos from user @wakishua_____, please go to the Tikwm
homepage.