@friday_night_sokoni: #fridaynightsokoni

FRIDAY NIGHT sokoni.
FRIDAY NIGHT sokoni.
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 09 September 2026 19:15:03 GMT
41065
1718
39
33

Music

Download

Comments

b.laizer
B.Laizer :
i Disagree
2026-09-10 06:46:42
4
mr.dick366
mr dick :
kama ingekuwa hivi basi KFC isingefika leo, labda useme kwa experience yako uliokutana nao kwenye hii bihashara hawana effort kubaki the top
2026-09-10 05:53:41
6
kalundejr6
kalunde jr :
acha kukatisha watu tamaa
2026-09-09 21:23:06
2
super.kings.fashi
super kings fashion :
hapo kuna kitu kinaitwa ukuaji wa biadhara uwe direction proportion with uwezo wa huduma. ukifeli hapo ndio tatizo linapoanzia
2026-09-10 03:53:46
6
last.born69572
last born kimatile :
kweli kabisa
2026-09-09 22:19:07
4
juma.mazurui
Juma_Mazurui :
kwer
2026-09-09 22:17:17
4
beauty777q
angel :
uwezi mwelewa mpaka ufanye hiyo biashara
2026-09-10 06:24:54
4
annawallace742
Anna Wallace :
Yaani nimekuelewa mwanangu hongera sana mm napika chakula na nafanya biashara hii yaani unaakili sanaa nakuelewavizuri sana kwa asiyekuelewa hawezi kukuelewa
2026-09-10 07:43:37
1
brown.to5
Dey Brôwn💧 :
inascratch kwnguh tu au wifi imeisha 🤣
2026-09-10 08:39:30
0
kelvinanthony182
janjalo :
brother nimekukubal kaka ilo nikwer kaka
2026-09-09 22:23:44
3
user7052618150296
kelvin poul :
hapana hapana nakataa iyo inaitwa negative thinking 🤔
2026-09-09 22:28:15
1
merybriana236
merybriana236 :
saut zinakwama
2026-09-10 06:10:48
0
calvincalvin2719
calvincalvin2719 :
Sio biashara ya chakula tu, biashara yoyote ikiwa inakua ndo inakufa.. na Kama haijafa yenyewe, inakuua wew mmiliki kwa pressure na sukari..😊
2026-09-10 06:59:29
0
queenlione17
Queen Leo :
kwenye chakula niukweli 😂😂usipokuwa makini lakini sio wote😄
2026-09-10 05:53:36
0
kim.asha85
kim asha :
Ila kma kuna ukweli ndani yke 😳😳
2026-09-10 03:51:30
1
shelly_shine01
Shellnisestarsky :
Kama biashara ya jeans unavykuwa ndio uwendi ofisin🤣🤣
2026-09-09 22:11:28
1
god_handy
NILLMAR :
Pipy anahusika vp ap
2026-09-10 02:22:40
0
saidimpako
Mr. jerusalem :
wakati watu waonezeka yeye haongezi uwezo ni kama yupo tu haoni kinachoendelea
2026-09-10 05:29:55
1
nusraty3011
Nusraty collection🛍️💸 :
Mbona ya mama manyema aijafa 😂😂 weeh sio kweli 😂
2026-09-10 03:39:58
1
nimo49769
Eunice Wairimu 🇨🇦🇨🇦💕💕 :
Canada 🇨🇦 kazi zipo njooni 🥰🥰🥰
2026-09-10 05:55:57
0
tiktok.comsabigirl
Sabi Girl :
uyu nae mjuaji
2026-09-10 07:53:35
0
praise0173
Praise :
Ila nyie mambo mengi kwenye Kila biashara lkn Ni akili to bhna
2026-09-10 06:00:30
0
robeni.sumuni
MR UNSTOPPABLE FX :
uongo si anapika sufuria tofauti tofauti😂😂😂😂😂 na anaongeeza wapishi wazuri
2026-09-10 08:30:17
0
jmbalengar
mbalengar :
we nawe tatizo lako unajua sanaaaa!
2026-09-10 04:47:38
0
To see more videos from user @friday_night_sokoni, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About