@jvckieseven: baada ya wasanii wa kundi la tip top connection kuachia nyimbo zao kila mmoja, mwaka 2010 kwa mara ya kwanza walikuja na huu wimbo uliosumbua sana sana sana, wimbo ulitayarishwa Mj records na producer Marco chali 🔥
JvckieSeven
Region: TZ
Wednesday 09 September 2026 19:20:57 GMT
Music
Download
Comments
mwl_jamesndanzi190 :
hapa nilikuwa darasa la 7. wewe je?
2026-09-11 08:01:15
4
Velmin :
huy ni jux au mach yangu
2026-09-10 17:54:44
3
MBW :
bob junior present
2026-09-11 08:51:45
1
sadi45 :
hapo modi kipindihicho haluhusiw kungia hapo ila maisha
2026-09-10 21:45:17
4
Hamida Bakari :
Keisha moto
2026-09-11 11:54:56
1
_9.P.M_ :
weeee🔥🔥🥰
2026-09-11 12:23:48
1
mobeo :
Ni jux
2026-09-10 21:45:57
1
MULTIVERSE🔛✝️ :
kuna ile chamakubwa ile🔥🔥🔥
2026-09-11 11:14:54
2
ben254 :
tip top inanikumbusha mbali sana
2026-09-11 03:29:47
2
💜Nyangi💜💜 :
nyimbo yangu pendwa kwenye tiptop[Red heart]
2026-09-10 19:04:15
3
ottoman :
ilikuwa noma sana enzi hizo
2026-09-10 22:15:16
1
shabani jumanne :
pamoja sana
2026-09-10 18:26:04
1
Pato Nistelrooy :
muda huu nina kasimu fulani blackberry ya moto sana muda huo
2026-09-11 01:34:50
2
Adamnice Ngonyani :
kunahadi hanscana humo
2026-09-11 05:08:11
1
HEAVY DEE :
yuko wapi huyu dem
2026-09-11 12:34:48
1
Kasyele jr :
noma sna
2026-09-10 17:42:02
1
Elia Mbedegalo :
ila madee ali ni 🔥🔥🔥 Haboi kumsikiliza
2026-09-10 18:59:09
1
yusufugilbert :
my favourite bongo music 🎶
2026-09-11 05:42:35
1
Kulwa michu 17 :
duuh zilla na jux
2026-09-12 14:23:28
0
kerewe boy :
Usikute Tick Tock ilitoelewa kutoka Tip Top
2026-09-12 10:28:32
0
David :
sana wueeeh
2026-09-11 21:53:48
0
@mchucha :
dalasa la sita duuuuh co poaaa
2026-09-11 20:25:49
0
HEAVY DEE :
yes nakubali alikuwa one my favourite
2026-09-12 10:49:14
0
To see more videos from user @jvckieseven, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.