@marrycelinegmpuku: 💔🙌😂

Malaika💦🤍
Malaika💦🤍
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 09 September 2026 19:27:52 GMT
52459
1690
378
858

Music

Download

Comments

shiper2004
shiper@ :
what type of music
2026-09-10 13:24:02
0
77ajos
Baraka Josephat :
change friends 😂😂😂 what are they shouting for 😂😂
2026-09-10 13:01:43
0
the_mushis09
The Mushi’s :
free minister plz
2026-09-10 13:51:18
0
cute.bertha3
....BéVelveť♡🎀❤️.... :
marafiki zake wanafki sana😅
2026-09-10 09:54:33
53
elishageorgee
ELISHA🌱 :
Ila ministaaa
2026-09-10 08:40:00
64
chioma.wa.side
Your name....... :
ukiwa na yeeeeeeeeeeeeeeeeee hakuna cha kukushinda😂😂😂😂😂
2026-09-10 10:27:49
26
priscila.jp8
priscila jp :
what the heck is this🤭
2026-09-10 06:52:51
0
scorpion9739
mahskujua cake🎂 😋😋 :
jamaneee sio lazima wote muwe waimbaji mtakuja mnye madhabahun
2026-09-10 11:58:21
28
neemam10
@neyla munisi10 :
🤣🤣🤣🤣🤣kila nikisema siweki status ndo nakutana na vishawishi walah 😂😂😂😂
2026-09-10 07:08:00
47
alextreyvor
Alex Treyvor :
ila background sound mmetisha😅😂🙌🏻
2026-09-10 09:53:30
5
gaudesia.nicholau
G. Nick :
HOVYO
2026-09-10 05:42:56
9
godlove_mtafya
Tchr Godlove Lazaro🇹🇿 :
Bwana Yupi?
2026-09-10 06:46:55
16
hotice307_
ED💧💧👑👑 :
hyo nguo vip
2026-09-10 06:01:34
12
valiantgmail.com
ValiantRayz@ :
Ila Mungu anajua kuaibisha ...😅sauti tu mashaalaah
2026-09-10 05:28:13
10
joyceperfect5
Joyce Charles :
😂😂😂😂😂😂yeeeeeeeee 😏
2026-09-10 11:40:50
1
momo273029
Momo :
😂😂😂😂😂😂😂Hata sjui nacheka nn
2026-09-10 10:56:04
1
luluwillium
@Luluwillium :
😂😂😂MUNGU Nisamehe hata wewe SIUNAONAA JAMANI
2026-09-10 13:25:41
1
melkshah
melkshah :
kwani wazee wa kanisa na mchungaji wanasemaje 🥹
2026-09-10 12:33:07
2
tiktok.comjackline
JACQUELINE 🌱 :
shaloom kanisa 😂😂🙌
2026-09-10 13:03:45
1
user7243360562140
🍒mary-osborn👸 :
nilivo naasira zakaribu sishindwi kumfata apo juuu nakumwambia ashukeee 🥲🙌🙌hasira zangu haziruhusu izi vitu😂😂😂
2026-09-10 13:05:55
2
tanny.benny1
❤️🐹🤍 CHEMA PAMELLA❤️🤳🫶🐥 :
ILA WAITIKIAJI🤐
2026-09-10 09:17:08
0
vicentp84
vicentpatrick186 :
oVaKonFidEnSiiih 😂💔😂
2026-09-10 10:27:31
2
msingiwetu_yesu
Msingiwetu ni Yesu :
Duniani Kuna mifumo ya Siri inafanyakazi Kwa weledi mno. Kuna watu ni mawakala aidha Kwa kujijua kabisa(yani wametumwa kuleta upotofu mahali ambapo wateule hukusanyika) AU Kwa kutojijua kuwa ni mawakala ila tu wanatumika na Ibilisi bila kujijua. Hao wanaliotumwa wanakuwa na vipawa na uwezo na watu wakutegemewa kanisani katika huduma na matengenezo. ndiomana Ukiwa unajiita mkristo na upoupo Kuna vitu hutajua
2026-09-10 11:46:23
1
prisca.leah
Prisca Leah :
Mungu wangu nisaidie nisicheke🥺
2026-09-10 11:51:27
0
To see more videos from user @marrycelinegmpuku, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About