jmn tuwachangien wadogo zetu wawe na viatu na mikoba plz🥺🥺
2026-09-11 05:41:32
2
muzne@ :
Nawaz kuwapt ao watt
2026-09-10 18:47:48
1
☠️👀 :
Maisha ya kweli
2026-09-10 08:57:38
2
user4571113519830 :
km Dr Mwinyi unaimani ya kweli lione hili......barabara nzuri ila watoto ndio hivyo
2026-09-10 10:31:08
3
Abdalla Faki :
maisha halisi tuliyo pitia
2026-09-10 14:36:29
2
Abdallah28 :
mungu awasaidie cn wadodo zangu mungu awajalie mufanikiwe kila hatuwa ya munayo titiya katika masomo yenu na mupasi mupate kazi Amini 🤲🤲🤲
2026-09-10 16:23:10
2
Abdurahman :
Aliyepakiwa nataka kumnunulia bicycle yake nampata wapi ? Naomba kujua
2026-09-11 04:39:15
1
Aboutrickajr1🇹🇿 :
Amy kila mtu anatakiw awe na yke kampen start
2026-09-10 15:50:48
2
Bwam muu :
Mashallah Mashallah ALLAH Bless you student hwa kesho ndy wakiwa wakubwa watakua viongoz wetu
2026-09-10 12:30:08
2
pop smoke :
maisha ya ukweli kabisa 😢 nikiona ivoh nakuwa na huzuni kwa kweli
2026-09-10 18:37:29
1
hamid @ khamis / :
masha allah hom hom tu
2026-09-10 15:14:21
1
edy R@o :
mungu atubariki sote tuliokimbilia comment
2026-09-10 15:22:53
1
muzne@ :
swa nitafute private
2026-09-11 04:35:19
1
user4571113519830 :
ila sishangai
Nakumbuka Ali Yussuf alileta bassi wakati sisi tukiwa wagogo.....yaliandikwa TUWASAIDIE WANAFUNZI ila yale mabasi yaliishia kupeba watumishi wa serekali
2026-09-10 10:34:13
2
Khamis young :
nakumbuka sna hii life dah mungu awafanyie wepes maan kusoma hkumalizi
2026-09-10 17:03:38
1
MUSTAFA JEI :
pemba raba
2026-09-10 12:05:53
1
MARYAM :
🥰
2026-09-11 04:06:43
1
mathna muhidin :
kweli kaka
2026-09-10 12:54:49
1
King_kureish :
naomba niwapate hawa watoto
2026-09-11 05:57:48
1
To see more videos from user @khalfan.abdallah87, please go to the Tikwm
homepage.