🥰🥰❤️❤️Twakutegemea sanaa chunare kwa hii generation yetu Allah akupe umri mrefu Wenye khery na barka hata upitie nni jua wwe ni mtu bora na muhimu sana duniani kwa wengi mno huja nisaidia Mmi ila kw wengi na mengi unayofanya yaonekana usiwaze chochote kibaya wwe ni bora zaid unavyofkiria hata mtu asipokwmaboa lkni moyoni mwake yuajua nakupenda sanaa wwe na shamybebina 🥰🥰🥰❤️❤️❤️❤️😭Allah amfanyie wepesi apone amtatulie tatizo lake na yote mnayopitia amini ni mitihani ya Allah Ke amda tu na kuna sabbu zake sema Alhamdhulillah na usimame imara fikiria wote wanao kitegemea furaha ya wale wako barabara I uliyowapa 🥰🥰❤️❤️❤️🫂ningekua Kenya ningekuja kwenu wallah kkuona tu nkupe kumbato la mapenzi
2026-09-09 20:23:40
27
😇jeshi la mtu mmoja😇 :
We love you bosschunare💪💪💪
2026-09-09 20:11:05
0
Herson_Habshy :
daarafa na chunare nawapenda hata kama hatujuani
2026-09-11 16:40:58
2
swt morena :
Allah akufanyie wepesi kwa kila jamboo mchizen wangu🥰🥰
2026-09-09 20:17:38
8
rehema :
Allah akufanyie wapesi dada chunare
2026-09-11 08:38:54
2
🌸سمر يوسف🌸 :
yoo i love this girl mashAllah in sha Allah whatever you are going through u will be okayyy in sha Allahh🫂🙂↕️
2026-09-09 20:24:05
4
Raychausa003 :
ma sha Allah ma sha Allah
2026-09-10 15:20:46
2
ASFATHI DELICACIES MOMBASA :
mashallah ww roho Yako peke Yako Allah Atakupa utakalo kutapika katika mithihani🥰🥰🥰🥰🥰
2026-09-10 06:19:46
3
Ramadhan :
katoto kazuri mpaka na maneno yake mazuri
2026-09-12 15:37:40
0
Zul Zai :
subra kipenzi
2026-09-10 08:54:22
1
Esha galgalo :
Amin allahuma amin 🥰🥰🥰🥰
2026-09-11 10:33:02
0
Husnat :
All shall be well InshaAllah 🙏 Chunare hatujuani ila nakupenda sana Kwa ajili ya Allah. Mola amekujalia moyo safi wa kusaidia wengi bila kutarajia malipo. Mola akuzidishie subra na akuhifadhi🤲
2026-09-12 06:49:14
0
YOUNG COUPLE 🌹🥀 :
❤️❤️mashallah ❣️
2026-09-09 20:10:32
0
Da Néema🌸 :
Chunare Mungu akufanyie wepesi kwa Kila jambo
2026-09-10 21:28:20
0
ashura :
mashallh 🥰🥰
2026-09-10 19:03:47
0
michi michi ♥️🌹04 :
twakupenda chunare Allah akupe umri mrefu inshallah yarabii 🤲
2026-09-10 21:47:37
0
@mkakisha :
Allah akufanyie wepesi kwa kila jambo❤️
2026-09-11 08:35:40
0
user3469357035300mwanapili :
amiin
2026-09-10 19:43:13
0
kanzo :
kabisa mungu atakupa uasho kitaka
2026-09-10 20:40:54
0
mima_darran :
Chunare nakupenda sana japo sijakuona na pia natamani kukuona tuongee huwa wanipa furaha nikiona video zako haswa ile ulipelekea watu chakula ALLAH akujaze kheri daima YAARRABI
ALLAH akupe umri mrefu wenye Afya furaha na mafanikio mema YAARRABI
2026-09-11 14:33:39
0
To see more videos from user @bosschunare2, please go to the Tikwm
homepage.