@sheikhkhamis: fyp fyyp #viral #foryou #zanzibar #all country #imajence accedent traffic bike

SHAHIM.  Bey
SHAHIM. Bey
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 09 September 2026 20:12:42 GMT
30624
1424
40
72

Music

Download

Comments

elphahard
Elphahard :
SUBHAANALLAH Hivi sivyo inavyosomwa Qur-ani jamani, Ondoeni Qur-ani inasomwa kwa kufuatwa hukumu zake za usomaji na wala haiimbwi kama nyimbo Tumche Allah na Allah atatuongoza
2026-09-10 06:44:37
18
malebye_09
Malebye :
Top center
2026-09-10 11:05:44
0
mohdbinhaji
Moh'd Bin Haji :
hii inatajwa kua ajal mbaya sana ilitokea jana maeneo ya kiembe samaki pale mwenye gati aina ya prado kukatisha hafla bara bara wakat kuna msafara wa viongozi ndipo pikipiki ya polis ya kusafisha bara bara ikagonga gari hio sina uhakika kama yule polis amepona au amefariklakni ilikua ajali mbaya nashaur wanaohusika na barabara hii sehem wapazibe mana kama miez miwili iliopita tulimpoteza kija mbichi hapo hapo yule dogo aliacha ubongo wake ktk gali yakubebea mawe centar ilikua ajali yakutisha sana
2026-09-10 05:28:00
9
amnamy1
amna my :
lini na nn anajuwa atuelezee
2026-09-10 04:53:16
0
user74851222320504
hassani :
iyoo lin jaman
2026-09-10 10:30:44
0
mrmedyhd2
hamed hd :
wapii hiii
2026-09-10 12:04:55
0
makwaju123
makwaju :
Jaman Jaman hii nyimbo au Quran tuwe na Heshima ya Quran jaman
2026-09-10 11:57:36
0
mody.scutter
MODY SCUTTER :
kwanini bodaboda hawaskii wakiambiwa@😳
2026-09-10 11:40:55
0
user9396121132690
ladyhoney :
Kwanza tunakatazwa wanawake kupaza sauti zetu,2 hairuhusiwi kugeuzwa nyimbo.
2026-09-10 12:10:53
0
imamu135
Bin khamis :
Allah atujaalie husnul khatimah
2026-09-10 11:40:48
0
balcute
balqees :
hapo wanatakiwa waweke mataa
2026-09-10 09:44:05
0
orizo.tz
𝐒𝐨𝐟𝐭 𝐎𝐫𝐢𝐳𝐨🐐🇹🇿 :
Hio njia kila siku ajali
2026-09-10 11:34:01
0
sheikhkhamis
SHAHIM. Bey :
kuhus hii ajali
2026-09-10 05:38:53
0
elomary340
MUJTABAH🧠 :
tuna kazi ngumu mungu atulinde😭
2026-09-10 08:45:28
0
khamis.muhunz
Khamis Muhunz :
mm nauliza tu kwa tukio hili je limit ya speed kwa watu wakawaida tu au hata msafara unatakiwa ufuate sheria za barabara kama ambavo sisi raia tumetakiwa. Ni ipi hukumu ya huyu police kwa camera zq barabrani?
2026-09-10 10:13:37
0
bakarikilongola95
Bakari Kilongola :
9/9 haijawah kuwaga sawa iko kihatari sana Toka mv spice 9/9/2011 mungu ampe amlinde kamanda huyu
2026-09-10 07:22:17
0
mwinyi353
wizyam :
hapo ndo pale pale alipofariki jamaaa na pcx tuwe makini hiyo njia ina mdudu mbaya sana
2026-09-10 06:06:45
0
abdi__00__17
PROFESSOR 255 :
Jaman tuwe makin Sana na vitu kama hivi , unaweza ukajikuta unaingia kwenye matatizo bila kutegemea na hii ndo shida ya sisi watanzania na inatuponza sana unakuta mtu yupo serious kabisa anasoma comment yangu badala aandike ya kwake.😂
2026-09-10 06:26:37
4
user2037387461959
Nyendo ali ussi :
poa tu
2026-09-10 12:20:15
0
sadamohd92
sadamohd92 :
hakuna aloumia lkn jamon duh? Allah walinde tuwapendao na mitihani amiiin🥺
2026-09-10 12:14:05
0
saadillah6
saadillah :
iyo njia kwa ajali hapo subhanallah
2026-09-10 05:09:35
0
user45715443613615
lubayna :
wai apa
2026-09-10 02:17:28
0
user2000816144421
young mechanics🚘🛥 :
Naomba kuuliza anaejua isije kunitokea nikawa mkosa mim au nikapata hasara mim kama nitaruhusiw na police zidisha speed kiongoz anapit ili awahi vip kuhus camera zitaniach au bora wanigonge man kiukwl camer zinatupa hofu sana
2026-09-10 05:53:50
0
yussufalriyamy416
yussufalriyamy416 :
hii ni kiembesamaki mkunaz wa kwanz au ??
2026-09-10 09:07:58
0
To see more videos from user @sheikhkhamis, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About