Mimi na subili ki sms tu hapa yani 😂😂😂 nipo singo siku 14 ila nasikilizia mchongo wa sms nita jilegeza
2026-09-10 09:15:44
3
Marcelline Queen Mother🍓🍏♥️ :
nazani mimi uyo jmn. kama nime logwa[Cœur rouge]
2026-09-10 09:57:17
3
twin0008 :
ndo me apa sasa
2026-09-10 07:45:39
2
Ramuziy kalu :
ndio mm hapa
2026-09-10 11:43:38
1
marry💕 :
ni mm jmn daaaaaaaaaaaaaaaaa
2026-09-09 22:09:00
3
..... PAPY..... :
Noma sana
2026-09-10 10:08:19
1
mfalme ✍️ :
nikweli 💯 💯 😁😁
2026-09-10 13:00:31
0
Agness Mabula :
ndo m jamani 😭😭😭😭😭😭 sijui kwann nilijua m t kumbe na yeye upande wake anasikia hivo siku moja tulinununia nikamwambia kuazia tumeachan tulipoelewan akaniambia ani nilikuwa nikishika sin moyo paa nikikuta na w moyo hautuli
2026-09-10 13:53:40
0
mariamu grisen :
ni mimi jamaniiii
2026-09-10 11:53:25
0
momu-tricky :
nimimi jamani
2026-09-10 10:27:50
0
MISS GEE :
mm nipo singo wiki sasa sema nini kuna mchongo wa sms nausubiria 🥺🥺
2026-09-10 13:18:24
0
loniee💯💯 :
amna kitu kma hcho
ilkua hvo lakn sahv kila mtu anamaisha yake mwaka umeisha😳😳
2026-09-10 10:44:39
0
lizzy :
Sijui kwa nn mapenz yana nichukia mm
2026-09-10 13:57:59
0
Qute Ray💞 :
ndo nipo kwenye iyo stegi
2026-09-10 13:57:18
0
ma hidaya :
mbona unanisemea mm sasa
2026-09-10 12:14:44
0
great faith :
mimi apa
2026-09-10 11:26:46
0
mysala💕🔐🩷 :
we me nishaaamua siku hiz ila kila nikiónaa mtu anatembea kama yy moyo nasikia tiiiuiii ila nyie hapn[Tears of joy]
2026-09-10 08:09:37
2
it's teddy :
🤣🤣🤣🤣@Phee dimple🍎
2026-09-10 09:42:22
2
To see more videos from user @_moon9270, please go to the Tikwm
homepage.