Mimi juzi nimeumwa kichwa kinaoiga kwenye utosi ndani ya siku 2 nlijua sitapona Ila ashukuliwe Mlinzi wa kazini kwangu alinipigia maombi ndo kilikata apimnzike kwa Amani nu mdogo sana
2026-09-10 08:28:20
61
Mrs Madini🌸🎀 :
Innalilahi wainnailaihi rajiun🕊️🥹💔Pumzik kwa amani wifi yetu 🕊️🕊️🙌
2026-09-10 07:11:53
19
Real_melanin🤎✨ :
Nimview Huyu dada jamani daah pumzika kwa amani dear mwanaume wake sijui Ana hali gani 🥹🥹
2026-09-10 06:02:41
11
@faymoh..💞😊 :
Pole rfk angu duhh 🥺🥺
2026-09-12 07:34:12
1
Merinacosmetics💄 :
Mmmh kila nikiwaza kifo nakosa majibu naishia kuguna tu😭😭😭😭😭
2026-09-10 13:17:34
14
🌸✨Giant ~Naiverah ✨🌸 :
KIFO😭😭 HAKUNA ANAEJUA SAA YA KUONDOKA KWAKE TUKUMBUKE KUISHI MAISHA MATAKATIFU. MUNGU AMPUNZISHE SALAMA LOVE😭😭😭
2026-09-10 06:13:12
19
Chammy🦋 :
Pumzika kwa Amani🥹
2026-09-10 19:10:25
0
Aprilian butterfly 🦋 :
Mimi nahisi maumivu kwenye moyo naogopa ata kulala nisije kupitilizia 🥺🥺
2026-09-10 12:14:43
2
ummy❤️ :
Msiba upo wap
2026-09-10 05:36:32
2
trizygal28🥰 :
Hugs 😭
2026-09-10 05:02:13
6
amina ally :
alipatwa na nini jamani
2026-09-11 06:17:08
0
css :
Polen dada kwa msiba
2026-09-10 11:10:17
2
. :
This world is so cruel watu wanakufa wadogo sana 🥺
2026-09-10 04:14:35
2
djbmrburudaniTZ :
huu mwaka ni wavijana jamani tumludie mungu
2026-09-11 11:19:30
1
B🦋dolly💫💞 :
pumzika Kwa aman Dr
2026-09-10 10:30:30
1
momoh♥️ :
daah very sorry dear 😥
2026-09-10 10:40:14
1
sweetie❣️ :
maisha ni mafupi mno😭😭
2026-09-10 12:37:52
1
merianna~🦋🦋 :
Polen Kipenz 😭🕊️
2026-09-10 06:28:27
1
jm dady 1617 :
duuuuuh!!!, kwan , kwann kifo ety??, kifo kimechukwa wat mhim sana kwenye maisha yetu, wengn walikuwa ni nguzo kweny maisha yetu, but kifo kimeondk nao. Hata hvy inauma sana, MUNGU AMLAZE MAHALI ANAPO STAHILI😭😭😭😭
2026-09-10 05:49:28
2
🦋Being_Tee🧸🤍 :
pumzika salama loveness 🥹💔🕊
2026-09-10 07:47:42
1
timac.co.ltd0 :
Duhhh huyu si loveness jmn
2026-09-10 05:46:19
1
To see more videos from user @maleficen066, please go to the Tikwm
homepage.