@chancetza1: Watoto wa Diamond #Tiffah na #Nillan Wamewasili Airport Kwa ajili ya 40 ya Mtoto wa Diamond na Zuchu 🔥🙌

chancetza
chancetza
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 09 September 2026 20:39:50 GMT
57376
3053
30
10

Music

Download

Comments

khadijasalim7314
Khadija Salim :
astaghfirullah israfu ya pesa hiyo,afadhali muwape wasiojiweza,
2026-09-10 08:11:41
3
kwamboka.naom
Kwamboka🥰 :
Pesa n nzuri walai siwezi choka kutafuta😁😅
2026-09-10 11:34:31
7
josephine.mtigumw
Josephine mtigumwe :
kwa kweli Diamond anawapenda sana watoto wa zari ndani ya moyo wake
2026-09-10 05:59:32
7
user70873808029458ayala
AYALA the GREAT 🫡 :
hadi raha nimessikia raha kwa kweli kufanikiwa kwa mwenzio ni ra sana
2026-09-10 03:37:08
6
najma.pamba.kali
Najma pamba kali :
ila hum duniani kuna watu wanakufuru mungu
2026-09-10 13:33:04
1
neyney3104
M❤️R❤️. :
mungu awalinde Kuna Raha Fulani hivi baba kupenda watoto wake
2026-09-10 09:47:06
6
user196953815935
user196953815935 :
baba bora na ela juu bila ela wangeishi kama wangu tuu
2026-09-10 08:47:44
2
sharifa_750
sharifa :
wakipanda kila siku nitaelewa, lakini mara moja kwa mwaka sioni umuhimu
2026-09-10 09:46:56
1
winifridakasibu
Winnie :
Najiuganisha mibalaka hii ikawe na kwa watt wangu,amen
2026-09-10 10:07:54
3
yusra6981
yusra :
ADI raha jamn
2026-09-10 06:59:31
1
jennifermoses6928
jennifermoses6928 :
hatari sana. Diamond anawapenda snaa hawa watoto
2026-09-10 08:23:54
2
lizer77_
Bint Stadi :
Hiyo ndio itakua video ya huo wimbo ndugu zangu Athenian kupata tabu kusema ooh sijui jeuri ya pesa
2026-09-10 09:21:59
1
marieth616
Marieth :
pesa ni kitu kingine aise tutafute tu pesa
2026-09-10 15:02:02
0
feza.zaurathi.bf
bf 🌹♥️ :
🥰🥰🥰
2026-09-09 20:41:35
1
user8119902619322
HAPPYNESS :
🥰🥰🥰
2026-09-10 14:59:02
0
chantale5201
chantale :
🥰🥰🥰🔥🔥🔥
2026-09-10 14:36:11
0
user9149678654942
yohana :
[Heartwarming]
2026-09-10 13:35:27
0
bytheway4270
salha :
🌹🌹🌹🌹🌹🌹
2026-09-10 11:49:58
0
magesa90
@ nehy💞 :
🥰🥰🥰
2026-09-10 08:54:46
1
silent_orbit802
@Silent_Orbit✨🥹🤩 :
🥰🥰🥰
2026-09-11 06:12:04
0
nasrabarinda
nasrabarinda :
🥰🥰🥰🥰
2026-09-10 06:45:29
1
user3925848343076
miss Suzuh 049Tz... :
😱😱😱😱
2026-09-21 14:26:09
0
To see more videos from user @chancetza1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About