@kiswahilitvonline: Mnamo Januari 16, 1999, ulimwengu wa masumbwi ulisimama kushuhudia kurejea kwa Mike "Iron" Tyson ulingoni dhidi ya Frans Botha. Pambano hili lilikuwa na presha kubwa mno kwani Tyson alikuwa anarejea baada ya kukaa nje ya ulingo kwa miezi 19 (mwaka 1.5)! Kwasababu ya kufungiwa leseni yake ya ngumi na kutozwa faini kubwa baada ya tukio la kihistoria na la kushtua la kumng'ata sikio Evander Holyfield mnamo Juni 1997. Hata baada ya kurejea kwenye pambano hilo Tyson aliongozwa kwa pointi raundi zote 4 za kwanza lakini alikuja kufanya mapinduzi ya alama kwa kumpiga mpinzani wake Knockout moja tu na kuumpa ushindi. Na usiku huo Mike Tyson alitengeneza dau la uhakika la Dola Milioni 10 ($10,000,000) (zaidi ya Shilingi Bilioni 27 za Kitanzania) kwa ajili ya pambano hilo pekee! 👉Ni pambano lipi la Tyson halitasahaulika?

kiswahili Tv
kiswahili Tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 09 September 2026 21:43:22 GMT
68573
2718
55
50

Music

Download

Comments

abraham.mwamakula
Abraham Mwamakula :
God punch 🤜
2026-09-10 13:21:01
0
othuman1111
othuman bey Onry one :
trampo nae alikuepo
2026-09-10 11:46:01
0
gaspadaux8
Kippaghile :
nani amemuona trump
2026-09-10 07:30:37
10
isakagwakisa
equalizer :
chacknouris😁
2026-09-10 09:56:47
0
jacob7460b
Jacoboy_7460B :
kuna kitu cha kujifunza hapa Kama kuna Baraka kubwa inakuja mbele yako asilimia kubwa ya watu watasimama upande tofauti na wako, Kama TYSON angepata muda wa kuwatazama mashabiki, akawaona wakimcheka ingemyumbisha kisaikolojia lakini hakuwatazama aka FOCUS na hitaji lake. Alipofanikiwa kumuangusha mpinzani kwa KO, walomcheka walibaki wanashangaa tu , So Painful 😂😂
2026-09-10 05:44:40
22
vifaabora2099
Chimbo Lako 🌍 :
Mohamed Ali pekee alitaka Tyson ashinde
2026-09-10 09:03:35
8
loutis
Loutis 🇹🇿🇰🇪🇨🇩🇷🇼🇺🇬 :
So many stars in one arena🤝
2026-09-10 11:49:07
0
user1832117288291
doxantoc :
jamaa alikua mtu wa pisi kali kwer ila kwa sasa kazeeka me nimejifunza hili wanang 🥺🥺
2026-09-10 11:50:39
2
antharypapy
Papy anthary :
D P
2026-09-10 10:37:53
2
rosemaryraymond18
@its_rossie22 :
Mike Tyson pamoja na yote lkn alikuw na moyo mzur akaend mpk kumuinua mpinzan wake me nisingewez aki🤗
2026-09-10 12:53:12
1
cry360
Dr.karume :
hakika Life passes apo kuna mastaa kibao ila sasa washazeeka wengine hawapo kabisa ila walienjoy life so ukipata muda enjoy maisha
2026-09-10 06:03:39
5
thomasraiton
Thomas :
Trump alikuwepo angalia vizuri
2026-09-10 07:46:51
0
musababazbabaz
Diddy Combs :
Trump anorld Schwarzenegger walikuwapo
2026-09-10 09:25:35
1
user6155247775475
Rich :
Baba jen nae ndani
2026-09-10 07:09:46
2
venancemgosi
venancemgosi :
Trump😀😀
2026-09-10 12:49:31
0
kelvin_kelly
Kelvion23 :
Hii game ukiangalia vizuri kulikuwa kama Kuna kaubaguzi wa Rangi wa kiaina flan angalia pale ambapo jamaa kashinda. Will Smith na Muhammad Ali ndio walikuwa kama Wana kufaraha kwasababu ya umarekani weusi
2026-09-10 12:29:37
0
ahmad.sidi24
ahmad sidi :
uzito wa juu ✌
2026-09-10 01:09:54
1
kidole.petrol.kid
kidole petrol kidole :
Arnold alikuwa anamcheka
2026-09-10 07:46:13
0
johnbendera271
John Bendera :
Nan kamuon anold
2026-09-10 09:04:33
1
tamaam021
tamaam :
denzel Washington
2026-09-10 10:07:07
0
kalahariboss2
Kalahari Boss :
hapo kila alie unyeshwa na Camerman ni star... ukiangalia vizuri utaniona. nikevaa ile langi ya upendo.
2026-09-10 09:57:18
0
user0626171514
Ngarinho :
uyo si anord kwel
2026-09-10 03:08:31
0
esterkombani96
esther_ kombani💕 :
nime muona tramp 😂😂
2026-09-10 06:25:15
1
ragmeil1582
Mohamed :
mohed ally Yuko kwambali anaangalia, kiufup black we are so talented thus y whites fear Abt us
2026-09-10 10:29:02
0
abbas_ndilo
abbasndilo :
nimemuona chakinoris
2026-09-10 11:28:09
0
To see more videos from user @kiswahilitvonline, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About