mtu poa,sana mtu safi,roho nzur pesa nyingi ila upo kawaida tyuu bro.nimependa life style yako.
2026-09-15 06:06:09
1
Ally Rajabu :
mungu nipe kama huyu mzee
2026-09-11 09:40:38
0
Mathias Limbu :
wee mtu poa sn, nakufaham Toka nikiwa mdogo nikiwa pale Magu mjin kwny familia yetu ya Sitta Kitwala, karibu Chunya utusapot pia kuweka uwekezaj mkubwa kwenye migod ya dhahab Ba mdogo☺️
2026-09-15 13:40:38
0
Dan vin tz@ :
dingi kama dingi na kubali mzazi
2026-09-10 19:19:23
1
BONY ISRAEL :
Tajiri ajui maana ya kununa dah sawa 😁
2026-09-11 17:18:17
0
frola silvesta :
🥰🥰
2026-09-14 20:13:39
0
Silas :
💪💪💪
2026-09-11 04:42:45
0
YOUNG OUTFITS :
🥰🥰🥰
2026-09-11 11:17:29
1
To see more videos from user @lugumisaidi, please go to the Tikwm
homepage.