@offgridcamplife: PART 7 | Watch the full process of building a log cabin by hand deep in the forest. From camping shelter to finished winter cabin interior — this is off-grid survival at its best. Perfect winter cabin decor inspiration and cabin building woods content. Building a log cabin by hand in the frozen woods ❄️🪵 Pure winter survival vibes & cozy cabin life building log cabin by hand winter cabin in the woods cabin building woods log cabin survival winter cabin interior #BuildingLogCabinByHand #WinterCabinInTheWoods #CabinBuildingWoods #LogCabinSurvival #WinterCabinInterior

OffGridCampLife
OffGridCampLife
Open In TikTok:
Region: FR
Wednesday 09 September 2026 22:09:57 GMT
315
11
0
0

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @offgridcamplife, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

*NAWEZAJE KUONGEZA  KIPATO CHANGU?* Mwandi shi maarufu wa kitabu cha rich dad poor dad robert Kiyosaki amewahi fundisha kwamba watu wengi wanapotaka pesa zaidi hufikiria “Nifanye kazi gani ili nilipwe zaidi?” Lakini mtu anayefikiria kifedha hujiuliza swali tofauti kabisa.. “Nifanye nini ili nijenge chanzo cha kipato ambacho hakitegemei muda wangu kwa asilimia kuqbwa?” Kuna hatua mbili muhimu ambazo kiyosaki alifundisha.... 01; Jenga uwezo wako wa kupata pesa...... Jifunze sales, biashara, uongozi, investing, financial literacy na skills nyingine zenye thamani sokoni ambazo zitakupa value ya kuzivutia pesa zikufuate.... 02; Tumia kipato chako kujenga assets.... Badala ya kila ongezeko la kipato kwenda kwenye matumizi, sehemu yake inunue au ijenge assets zinazoweza kuzalisha cash flow au pesa nying zaid.. Mfano.... Ukipata TSh 1,000,000 kwa mwezi na kila mwezi matumizi yako yanamaliza pesa zote, umeongeza income, lakini hujajenga uhuru wa kifedha. Lakini ukiongeza kipato na ukaanza kuelekeza sehemu ya pesa kwenye assets zinazozalisha cash flow, unaanza kujenga mfumo wa kipato.    Pesa ninayopata, ninaipeleka kwenye ASSET au LIABILITY?”   ☆Asset = kitu kinachoweka pesa mfukoni mwako. ☆Liability = kitu kinachokutoa pesa mfukoni Mfano Ukinunua gari kwa matumizi binafsi, linaweza kukugharimu mafuta, service, insurance na gharama nyingine kila mwezi..... Lakini kama unalitumia kuzalisha kipato, linaweza kuwa sehemu ya mfumo wako wa income...  Kiyosaki anasisitiza: usipime mafanikio kwa vitu unavyomiliki; pima kwa uwezo wa mali zako kuzalisha cash flow. Hapo ndipo financial intelligence inapoanza. Hapo ndipo utaona  tofauti ya “kufanya kazi kwa ajili ya pesa” na “kujenga mfumo unaokufanyia kazi” inaanza kuonekana.... By code12 #f #kipatohuru

About