إنا لله وإنا إليه راجعون 🤲🏽
Allahumma’ghfir laha warhamha, wa ‘afiha wa’fu ‘anha. 🤲🏽
Ewe Allah, msamehe marehemu wetu, mrehemu, mpokee kwa rehema Zako na umsamehe makosa yake. Mjaalie kaburi lake liwe bustani miongoni mwa bustani za Jannah, na umpe nafasi njema katika Pepo Yako. 🤲🏽
Allah amrehemu na amjaalie Jannatul Firdaus. Aamiin Ya Rabb. 🤲🏽
2026-09-10 06:10:38
13
Ghaniya Jaffar :
innalillah waina ilayhi rajiuun. Allah ampe kauli thabit
2026-09-10 06:52:50
2
chimuu 🌹🌹 albanrashid :
Allah amlaze pema peponi
2026-09-10 08:35:08
1
Ruhafam :
Allah amjaalie safari ya kheri in shaa Allah
2026-09-10 06:29:54
1
Miza Sadala :
mungu ampe safari njema
2026-09-10 05:28:36
1
💗💗💗 :
alhh amsamehe makosa yake ampe kauli thabit kwa alhha
2026-09-10 05:23:43
0
Tumah :
innalilah
wallah namuona machoni juzi tu tulikuwa pamoja shuhulini
hakika ya kifo ni fumbo
Allah amsameh makosa yake
2026-09-10 05:22:02
1
Alhamdulillah :
Inalillahi wainailahi rajioun, ya rabby mpe wepec ndani ya makaazi yake. Amiin
2026-09-10 19:05:44
1
Mom Aisha :
Inna Lilah wainna ilah rajiuon Allah amsamehe makosa yake na Allah awape subra wafiwa
2026-09-10 19:08:40
0
Naifa Seif :
Allah amsameh makosa yake amfutie dhambi zake amjaalie awe ktk waja wema wenye kupokea vitabu vyao kwa mono wa kulia 😭😭 na sisi Allah atipe mwisho mwema
2026-09-10 06:00:38
0
ustaadh_usaamah :
Allaahumma msamehe dhambi zake na umrehemu na umpe qauli thaabit Aamiyn yaa ArhamaRraahimiyn
2026-09-10 13:31:58
0
hatun :
2026-09-10 07:03:20
1
Asadwasad :
inalillah wIna ilaihim rajion
2026-09-10 18:19:14
0
Saghii :
Baki Allah m/mungu amfanyie wepedi katika safari yake hii
2026-09-10 16:58:22
0
asia_jazaka :
innalilah wainailayh rajiu'n
2026-09-10 04:40:19
0
Emmy :
Allah S.W amsameh alippkosea malaika wema wawe wapokezi wake
2026-09-10 08:13:29
1
Sabira Al mugheiry :
Allah amsameh makosa yake na amueke pema peponi kwa rehma zake Amin
2026-09-10 19:21:03
0
Sherry Fadhil🤎🥥 :
Sijalala leo Allah Marehemu 😭😭😭😭😭
2026-09-10 06:05:23
0
Shark 🦈 :
Mmungu amsame makosa yake amlaze pahala pema peponi
2026-09-10 18:35:29
0
manga :
Inna lillahy wainna illahy rajiun
2026-09-10 13:15:09
0
ustaadh_usaamah :
Innaa lillaahi wa innaa ilayhi raajiuun
2026-09-10 13:30:31
0
rahma kanu :
poleni Mungu awape subra
2026-09-10 16:16:59
0
sosimmadi :
Allah amjaalie shufaa na makaazi mema🙏🙏🙏
2026-09-10 14:44:02
0
Azza :
Inalilahi wainailaihi rajiun Allah ampeleke pema
2026-09-10 13:08:17
0
To see more videos from user @azantbabycare_nurserysch, please go to the Tikwm
homepage.