@frankmavura: DALILI 10 KUWA MPENZI WAKO ANAKUPENDA KWA DHATI ❤️ Ukiona hata 3 tu kati ya hizi, huenda una mtu wa thamani ambaye hupaswi kumchukulia poa. Mapenzi ya kweli si maneno matamu pekee. Yanaonekana kwenye matendo, heshima, uaminifu, kujali, mawasiliano na namna mtu anavyokutendea kila siku. Ungependa kujua kama mpenzi wako anakupenda kweli? Tazama video hii mpaka mwisho. ❤️ #TrueLove #mahusiano #upendo #frankmavura #mapenzi

Frank Mavura
Frank Mavura
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 10 September 2026 02:32:05 GMT
69634
5016
112
385

Music

Download

Comments

witty.gwimile
Wittie❤️💃 :
Hana hata kimoja let me chill 😎
2026-09-10 10:00:17
0
adamicjr
adammsuya001. :
kwani mvua za alimno zina anzaa lini
2026-09-10 08:11:27
37
mwazaninalapa850
Mozani Nkurumah :
bado nipo single kaka natafuta 😂😂😂
2026-09-10 02:46:28
26
fortun_a1
_fortuna🍀🍀 :
amna aliesummarize jmn🤦😂😂
2026-09-10 09:55:05
0
user90931875028064
Jiwe :
1.3.4.7.8.10 izo namba zake
2026-09-10 03:23:52
6
user2912200600006
Mbeumo :
hizo dalili zote mke wangu anazo Allah amzaidishie tuna miaka 6 Sasa kwenye ndoa!!
2026-09-10 07:46:50
14
promess353
J♥️🔒P :
bado niko single😭
2026-09-10 09:23:57
0
nasmabilaly
Norria🦋 :
1.2.3.4.5.7.8.9.10 wow☺️
2026-09-10 05:36:39
0
urs3446cf
user765012 :
this is my man♥️
2026-09-10 07:34:27
0
sweet.pain455
Sweet Pain❤️‍🩹 :
😂😂😂km mazuri....hakuna hata 1. na ni mume mtarajiwa.
2026-09-10 02:49:34
8
lososoundtz
LS :
Mr 10 Points..Respect sana
2026-09-10 03:02:29
2
mwambaalley
Mwamba Alley :
nime fanya yote hayo na nime achwa mamae
2026-09-10 18:05:47
0
oswayo_digital1
Oswayo_Digital1 :
Twataka vita
2026-09-10 17:30:45
1
osward35
P sword :
JE AKIKUONESHA ZOTE ALAFU AJUI KUFANYA MAPENZI 😇😇
2026-09-10 10:40:59
0
marcomartine55
Michael Scofield :
mh,, linawaz kujenga maish yake , kila ela yake kwang n mkopo n n daiw lkn vyang n vyake vyake n vyake ningejua nisinge jenga familia n yeye .
2026-09-10 07:23:22
0
kidemu_happy
kidemu🖤 happy👣 :
Ngoj nilale mie 😳😳😳 mpanzi yashanishinda nikalime tu
2026-09-10 11:11:45
2
marynado15
💖💖Queen girl💘 :
Tabia zote anazo my man mungu anitunzie yeye
2026-09-10 18:15:26
1
mshale720
mshalethe :
zote ana😳😳
2026-09-10 04:09:51
2
officialrenee2
🥰I.R.E.N.E🥰 :
mbn zote anazo babe wangu
2026-09-10 05:35:26
2
user24024190945116
user24024190945116 :
Wanawake ukiwa na upendo hakuamini haraka lakini kama huna mpango wa kumuoa anakuamini kwa haraka,ndyo maana huwa wanaangukia mahala sio sahihi.
2026-09-10 05:57:38
2
user9387371302727
sharon😄 novenine :
wapili leo nipen like zang
2026-09-10 02:47:16
2
milfatially1
me the boss :
mimi akuna ata kimoja staki uongo😂😂😂😂 ata sipendwi
2026-09-10 10:05:41
1
c_2971
@#_+&--- :
sijui nitapata lini mwanamke ane nipenda 😂😂
2026-09-11 07:06:18
0
rterl5
rterl5 :
1234567
2026-09-10 20:10:39
0
2909aiya
@Aiy@m :
bado nipo single tu [Vergüenza]
2026-09-10 20:21:06
0
To see more videos from user @frankmavura, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About