@djsummertz: Be Strong 💪🏾💪🏾 Meeen Haijalishi Jnapitia Mangapi’ Kuna Muda Dunia Haina Huruma Tu Lakini Haimaanishi Inakupa Mwisho Wa Kupambana Na Kuinuka Tena, I feel you Mwanangu @piccokikongwe_ 🥺🫂 Music By @diamondplatnumz 💿

Dj Summer TZ
Dj Summer TZ
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 10 September 2026 02:45:13 GMT
45608
3118
111
29

Music

Download

Comments

user3011304437268
swax smart furniture :
Wote tulio wahi shika pesa nyingi na Leo hatuna kitu tu like hapa🤣🤣
2026-09-10 14:28:39
62
shedymgaya638
shedymgaya638 :
pole sana brother kikubwa uzima ringa afya bado unayo.
2026-09-10 07:42:50
22
mercy.alois
Mercy Alois :
mudaaaaa mali broooo umeishaaa 😁
2026-09-10 09:57:17
6
loverack
loverack :
oya broo acha kulia we ni mwamba
2026-09-10 20:13:51
10
user4282551888085
user78308080775 :
Kuna ss wengine furah yetu ni kusoma comment za watu "hi bestie" kama upo namm 😁
2026-09-10 14:52:56
8
timjasiri1
Tim Jasiri :
Swaga zangu ni 🔥🔥on 🔥 🔥
2026-09-10 07:51:37
3
halaida5
halaida :
Kaka Madee....Weka Uyo mwamba Picco kwenye kila Show ya miaka 30 ya bongo fleva na Show zengine... mwamba dizaini kama pana maumivu makubwa sana yamo ndani yake...mfanyie come back kwenye game.
2026-09-12 00:22:45
2
abui204
abui mbilizi :
Oya tumchangie huyu kaka mkubwa
2026-09-10 11:31:20
7
jescaamos195
Jesca Amos :
ao wanaocheza wanaa sanaa😂
2026-09-10 16:45:20
1
gulamkabuga
Gulam Kabuga :
mondi aliimba bwana 🙏🙏
2026-09-10 09:37:12
4
theodory.theodory
Theodory theodory :
huyu jamaa anapitia mengi
2026-09-10 10:18:00
3
le.habbiz.don.car
Le habbiz doncare :
Ni ruksa kulia kaka,lia kuna nafuu utapata,wala cyo vby kulia,Mungu yupo na yatapita tu
2026-09-10 11:33:03
6
user6637616006034
milembe :
karibu Mt Paul kigango igoma tumuimbie Mungu mwaya
2026-09-10 16:22:42
2
victorlyimo25
mr :
hii nyimbo ukisikiliza ukiwa pekee yako ndani unalia lazima
2026-09-10 12:08:20
2
dkensmopain
Dkens Mo Pain :
nahisi umejifunza ya kutosha sikatai hali ilikua ngumu, Ila kutia tia huruma na kukaa kinyonge kwa mtoto wa kiume haileti raha picco, nahisi mungu atasimama na wewe
2026-09-10 19:33:15
1
mchagawauk
Konaa🇹🇿 :
jamaa kila interview analia Yan sijui walifanya nn
2026-09-10 11:22:41
2
mbaramwezi1
mbaramwezi_tz :
safi
2026-09-10 17:28:35
2
dommybabaalucky
dommy :
usilie familia...kuna watu wanakutazama kama kioo chao usiwakatishe tamaa inuka hujachelewa
2026-09-11 21:20:58
1
soko_cr31
soko_CR31 :
pole sana mzee usikate tamaa
2026-09-10 10:15:59
3
user1443114305481
omuttuju Benja bosi ug :
mwamba iyo ngoma ilikuwa yako
2026-09-10 12:45:09
1
jeremia.mwasomola
jeremia mwasomola :
very dedication song
2026-09-10 10:07:32
1
mnyamwe4real
26..mny@maaaa :
KUNA MUDA KULIA NI TIBA KUBWA SANA KWAHYO UKIPATA NAFASI YA KULIA LIA MPKA UCHUNGU UISHE. ..Nashangaa watu wanamwambia mwana akaze alowadanganya mwanaume akilia ety ni udhaifu aliwapoteza
2026-09-11 05:40:06
1
phd.msaf
OFFICIAl_PHD MSAFI🌍✈️ :
Maana ya swaga zangu👑
2026-09-10 08:59:59
1
user5518852179241
Abuu Gwelo :
dhahabu iliyoko kwenye tope pambana usikate tamaa
2026-09-10 11:24:45
1
user3161702048351
user3161702048351 :
pole kaka ndiyo maisha najua unahisia kali sana
2026-09-10 08:36:40
1
To see more videos from user @djsummertz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About