@allydreamz_tza: Hizi ni mbwembwe za Askari Polisi kutoka Kigoma katika ziara ya Mwenge wa Uhuru hapa Kigoma, Wilaya ya Kasulu. Inawezekana hii ni moja tu ya mbwembwe zilizolenga kunogesha hafla hiyo, huku Askari wakionyesha paredi na miondoko ya aina yake iliyovutia wengi zaidi. 🎥 Full Video ipo kwenye YouTube ya Millardayo.

Allydreamz_tza
Allydreamz_tza
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 10 September 2026 03:44:51 GMT
29444
1083
89
62

Music

Download

Comments

yusuphmpenja
engineer :
natafuta comment za screen shot 🤣🤣
2026-09-10 08:29:38
0
gsbabylone
Gsbabylone :
pared gan hiyo
2026-09-10 08:25:37
0
ngussa.eliasbuhilyangusa
Ngussa Elias :
Good job
2026-09-10 06:03:00
0
stakeholder_17
stakeholder_17 :
2026-09-10 06:58:45
2
twaibaty9
Tee~40💕🥀 :
Hiii nchi gan😅😂
2026-09-10 08:16:34
1
sando.mr.nature
Sando Mr nature🇹🇿🐘🐍🦍🦩🦩 :
acheni unanga
2026-09-10 05:58:41
7
masopalajr.1
🤍Sidě فذكرا :
jeshi gani Tena hili😂
2026-09-10 05:09:29
7
deuschuchuchu
ELUTION na C.I.P FUND UMEME :
tuseme sikuizi gwarde wameboreshaaa au ni unanga tu hawajuwi naomba mnieleweshe jamani
2026-09-10 06:54:57
2
alexjosephat94
ALEX J :
hii kwata yakinanga nanga Sana hawajui wanahoti kwa kunesa duh naumia jeshi likidhalilishwa hivi
2026-09-10 06:07:12
4
user8432640291968
Quraan and Sunnah :
Duuuu mbona sielewi
2026-09-10 06:15:53
2
bossx72
Boss :
moja yamavitu yanayo tafuna pesa za nchi bila sababu
2026-09-10 06:31:43
2
tet_spel
Tet_spel :
Watu wanapenda kazi zao bhana 🔥
2026-09-10 06:01:06
3
1dickson01
1dickson01 :
Ni ujinga tu
2026-09-10 05:38:54
2
lucasmkalawa287
Tondora one :
sijawai elewa hii kitu
2026-09-10 05:46:01
1
kelvn.kahaamba
kelvn mayoko :
hii kwataa ipi au ya Burkina Faso
2026-09-10 05:22:34
0
machumijohn
824 kj :
jamaa mnaa sana 😁
2026-09-10 05:30:50
1
paul.mbogo1
Paul mbogo :
huo ni unaaaaah
2026-09-10 08:14:51
0
tetelestia10
Philadelphia :
hizi kwata za kurukaruka ni za wapi
2026-09-10 06:28:56
1
simonalico
simonalico :
aibu Naona mimi
2026-09-10 06:54:23
0
wanusujoh
bad guy :
hii kwata ya wapi jamani😄😄😄
2026-09-10 08:15:50
0
samson.mushi
maestrow 🐶 :
mmmmmm polic ndio wana kwata la ovyo ivi
2026-09-10 07:02:28
0
kingjonior1
Jr junior :
Imekaa sawa Sana sana, Hapa Sio kwata Jaman,Askari wana Hoti wapo Sawa sawa kabisa Ardhi ya kigoma Ukipiga Mguu chini lazima Upe Sapoti ya kunesa Vingivyo Mambo yanaweza yakawa magumu
2026-09-10 07:36:56
0
To see more videos from user @allydreamz_tza, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About