@donald.kweka: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika Hitma ya kumuombea dua Mume wake, Maalim Hafidh Ameir Hassan, Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 09 Septemba, 2026.
pole sana allah atakupa subraa na kumfanyia wepec maiti na kumpokeaa mapokezii memaaa,,,,,allah yupo pamoj nawe ishallah🥰
2026-09-10 17:13:10
12
Mrs ❤️❤️ :
wamefanana na mke mwezie mashallah
2026-09-10 13:54:47
3
RAMEEL BEY :
pole sana mama mungu akupe subra
2026-09-11 19:56:32
1
salum taimour :
Pole Mama m mungu atakufanyiya wepesi katika msiba huwu
2026-09-10 12:02:39
8
my heart is your💞 :
mwenyezi mungu awape subra
2026-09-10 11:51:52
5
💔🦋MULHAT 🦋💔 :
Mungu ni mkubwa jamn tusiache kumuabud M/Mungu kifo ni popte n mda wowotee polee mama Samia na kipenz da wanu poleen San nawapenda sanaaaa ❤️❤️Allah awajalie afya njema na awajalie subra kwa kila gumu 🤲🙏🙏
2026-09-11 07:16:27
2
Amina iddy :
pole sana mama etu ndo mwisho wa binadamu kila kilichoumbwa na uhai kimeumbwa na umauti tumuombee duwaa kw wingi 🤲🤲🤲
2026-09-11 07:31:20
2
ibrahimomar2695 :
Yaa Allah. mpesubra. Mama. ytu. Raisi. Samia
2026-09-10 17:26:38
3
master 132 :
poleni sana kwa msiba😥😥😥😥
2026-09-10 14:55:53
2
najma05 :
pole mama etu kipnz
2026-09-10 16:46:59
1
Python Python :
polee sanaa mama yetyu
2026-09-10 14:54:35
1
Martina Pius :
poleni sana family
2026-09-10 16:58:31
1
Salumu# :
pole sana mama
2026-09-10 20:12:12
1
Fatuma :
afu wamefanana
2026-09-10 11:53:43
2
Bin Shaaban Seif :
Pole mama na familia yako
2026-09-10 15:27:34
2
Muhamed Khatib :
poleni sana jamani mungu awafayiewepesi mujitahidi kumuombea
2026-09-10 17:35:31
1
gilo5 :
mama pole haki nakupenda sana sipendi ukiwaza ila ni mungu amependà
2026-09-10 19:15:17
1
Feferajani :
Pole mama, mungu akupe subra na uvumilivu 🙌🙌
2026-09-10 17:53:39
1
keysam :
pole sana mama mwenyezi mungu akupe uvumilivu kwenye kipindi kigumu sote njia yetu moja kikubwa kumuombea dua na Uradi kwa wingi Allah akupe Imani na ustamilivu na subra Amiin rabilhaamin
2026-09-10 12:50:00
4
suleiman :
pole Sana mama Samia Allah atujalie subraa mamaangu
2026-09-10 17:57:56
2
userx3sw6o8sz4 :
poleni sanaa namungu amrahamu
2026-09-10 08:49:33
2
Khadija Yusuph :
allah awape subra
2026-09-10 08:29:01
2
Hafluu :
najikumbuka. kamamimi siku niliyo filiwa namuume wangu niliumiya sana maana nilikuwa mkiwa
2026-09-10 20:49:10
1
To see more videos from user @donald.kweka, please go to the Tikwm
homepage.