@isack.nunez: familia na ndugu wa dereva roli Faisal yaqoob ally mkazi WA mbagala jijini dar es salaam, Wana endelea na taratibu za mazishi kufuatia kifo chale baada ya kupigwa risasi kwenye tukio linalochunguzwa na jeshi la polisi
daaah unamkatisha mwwnzio maisha kisa 15,000 unatoa uhai wake jamani
2026-09-10 16:16:20
1
Paulo Matimila :
aliye kufa na aliye kamatwa ni yupi?asa
2026-09-10 15:19:53
1
elias :
ila turudi nyuma twende mbele mi simtuhumu huyo mlinzi watu wana zarau sana wanapaki tu magari ovyo hawakabidhi ukiwahoji wanakujibu kama wanavyo taka mimi pia mlinzi nipo sheli nawajua ila nawapa pole wana ndugu na jamaa wote
2026-09-13 06:31:05
0
shy girl :
jaman jaman inasikitisha sanaaa
2026-09-12 19:52:30
0
Mgeka :
Ww mtangazaji alie kamatwa n dereva au mlinzi
2026-09-12 21:17:54
0
ant feti :
Nika zani Feisal Salim 🤭🤭
2026-09-12 13:32:08
0
amir sadi jr :
dereva amekamwatwaje nawakat ameshafaliki
2026-09-12 03:54:51
1
HAMIDA RAMADHAN :
pole
2026-09-11 22:24:15
0
clever💯🫦🌹🥀 :
polen san
2026-09-10 11:25:01
1
mama mashuka :
dah pesa tu ndo unauwa mwezio jmn binaadam cc tunaenda wapi jmn
2026-09-11 19:36:12
1
Elizabeth Daud :
acheni kuuana jamani
2026-09-10 14:49:04
1
ahmedy :
dereva tena amekamatwa sindiye marehemu mwandishi wetu .pole mwandishi wetu
2026-09-12 09:08:08
0
ukht,A :
Allah ampe kaul thabit
2026-09-12 14:33:58
0
Mrs Suleiman :
jamanii binadamu tumekuwa na roho mbaya mno kwann jamaniii
2026-09-10 14:24:06
1
d2 :
tukisema waandishi uchwara hatukosei haya mbona mwandishi kachanganya habari
2026-09-10 15:14:11
1
shufaarajabu49 :
polen san
2026-09-10 08:13:24
0
pritty girl💜💜💜❤️💖 :
huyu mlinz yupo wapi
2026-09-10 18:16:32
0
mjuba :
aliyepiga lisasi Yuko wapi?
2026-09-11 09:44:50
0
kimcov19@maherJR :
alhamdulillah tumemzika Leo tumempunzisha katika nyumaba yake ya milele katika ardh darslam kijichi