@drpelinah_health: Dalili usizopuuzia Dalili usizopuuzie ⚠️ Wanawake wengi hupata uchafu ukeni unaorudia-rudia, miwasho, harufu isiyo ya kawaida au maumivu chini ya tumbo, lakini huendelea kutumia dawa bila kujua chanzo halisi. Tatizo likirudia mara kwa mara, ni muhimu kuchunguza chanzo badala ya kutibu dalili kila zinapotokea. ❤️ Afya yako ya uzazi ni muhimu. Usisubiri mpaka tatizo liwe kubwa ndipo uanze kuchukua hatua. 👉 Una dalili zinazojirudia? Tuma neno “UZAZI” DM/WhatsApp 📞+255768740087 kwa maelekezo ya hatua inayofuata. #AfyaYaUzazi #AfyaYaMwanamke #Wanawake #PID #Miwasho