🤣🤣😂😂 kuna siku nilikimbia chuma ilikuwa mladi wa maji pipe line inatakiwa nipite kwenye mahind na yamestawi balaa naaza tu muhun alikuja na panga 🤣🤣🤣 baadae boss anasema kachukue chuma langu
2026-09-10 07:10:36
10
OP MPANZOJR🇹🇿🚜🥾🦺 :
Kudadeq So poa Mwanangu
2026-09-10 06:43:15
1
Mafwenga The Great :
Jambo jepesi sana hilo, unamuomba mtoa maelekezo ya kuvunja akupe SMG za kutosha hapo una oparate mashine na wakati huo una oparate mashine pia.
2026-10-03 16:26:31
2
paschal kizito :
bora niache kazi
2026-09-10 08:20:26
5
Dominic Anton281 :
Sema iliwai nikuta 2008 Dodoma udom chuo niwahi kuambiwa niyavunje abanda ili ilo eneo wajenge Hoster oya nikiangalia wote naish nao mtaan aisee nilishindwa mchina ndo aka vunja Ila siku Fukuzwa
2026-09-10 17:16:06
6
STATUS :
Me namwambia Tajir aje kazin tuwe wote
2026-09-10 16:12:43
2
user688052764932 :
😳
2026-09-10 13:31:48
0
jemedar :
nashindwa kuelew 😳
2026-09-10 09:42:38
0
oska mshan :
naipat iyo ila natamani nijifunz
2026-09-10 17:20:06
1
ØP@øffîčîâľ.møûh🦺🚜 :
ah nashindwa kuelewaa🔥
2026-09-10 06:56:28
1
Mike Kenn :
ushawai tuma kufukua maiti????😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭na huna haki ya kukataa uko chini ya ulinzi mkali ya serikali
2026-09-15 05:54:19
0
Gangster no love no stress👺👺 :
Mm nakataa
2026-09-10 07:43:38
0
1K :
Na apo umepunguza ukali wa kazi ngum,, kuna iyo watu wameambiwa wahame na wamelipwa alafu wamegoma kuhama hmmm, iyo ndo balaaa,,, iyo ni night to night,,,
2026-09-11 11:57:11
1
✨AL-saudi-rukwa💫 :
2026-09-10 07:45:37
1
Marcher_Tz :
Noma sana 🤔🤔
2026-09-10 07:12:38
1
Engineer by Nature :
Pande zote za moto
2026-09-10 14:28:35
1
op kivuruge :
wanas3maje wananchi
2026-09-10 06:56:36
0
Umeme :
hahaha kunasehem nilipitisha mtaro wananchi walirusha mawe had nilijuta kwann nilichimba huo mtaro mashine vioo havikutamanika tena sio poa mzee
2026-09-14 18:58:32
0
chege :
mi nawazoa wa2/nachimba nafukia wata sepa
2026-10-10 19:08:13
0
abdulfakhi668 :
kweni ukiachaka zihiyo uwezi kutafitaka zinyinge kk
2026-10-11 07:37:23
0
mtinda :
kazi ya laana hiyo
2026-10-10 10:19:00
0
Rally Addict :
hyo kweli changamoto
2026-10-10 09:36:46
0
√The champion boi🇷🇼🇹🇿® :
😁😁😁😁😁😁
2026-10-10 12:04:35
1
user50596393141163 :
kwenye kanyumba mle ka dereva mawe na visu si haviingii napiga shooo
2026-10-10 06:34:37
0
Doto Robert :
noma sana
2026-09-10 10:08:07
0
To see more videos from user @op.maujuzi, please go to the Tikwm
homepage.