@tedcruz71:

TEDCRUZ71
TEDCRUZ71
Open In TikTok:
Region: BE
Thursday 10 September 2026 06:39:16 GMT
12694
864
159
50

Music

Download

Comments

miriammaganga
Miriam maganga :
We need real prayer 🤲🏽
2026-09-10 11:05:55
0
sabitinasalehe781
Sabitina Salehe :
maxhaallah shehe wetu
2026-09-10 14:49:57
0
lingtoneo6
living06 :
Safisana
2026-09-10 15:36:24
0
allymkm2323
✨✨MILLITO🇨🇩💫✨ :
ostashi samahani naomba kuuliza. UMEOA?
2026-09-10 09:29:36
7
josephtemba210
Joseph Temba :
shekhe mwenyezi muñgu akutangulie
2026-09-10 15:37:22
6
lameck.ibrahimu
Lameck Ibrahimu :
mungu akubariki sana hautaki dhambi ya unafiki
2026-09-10 12:55:44
16
mohamedmangopola0
Mo furniture 👣 :
Shekh summer, asalam aleykum
2026-09-10 09:23:40
4
vugirione
VUGIRI ONE :
Muislamu wa kwanza aliekataa kuwa mnafiki. Mungu akulinde sana shekher wangu🙏🙏
2026-09-10 14:55:48
8
zainabjosephat
ZAINAB ABDULLAH :
kuna mtot alifia kwenye pajaj yangu tulikuw tuna muaisha hospital siku ya mandamano mwenyez mungu aipoke roho ya huyo mtot Amiiin na wote waliusika wafe inshallah
2026-09-10 11:15:21
9
mohamedi.hmasudi
Mohamedi H-masudi :
MUNGU akuzidishie uhai helima na busara Aamiiin
2026-09-10 16:16:18
3
user987194174903318
mamahaika2 :
VIPI ILE YA ZANZIBAR ALIIOMBEA NANI? AU MI SIPO HAPA NCHINI
2026-09-10 13:17:34
1
edina7891
Edina :
Baba Mungu akulinde uishi miaka mingi
2026-09-10 19:53:40
1
shaksia6
SHAKSIA :
Mungu akupe umri mrefu mtumishi kwa kupitia wewe ujumbe umefika 👌👌👌
2026-09-10 09:05:41
7
mwanahamisiabdul76
shakillah_zakia :
wewe shekhe wa ukweli, na mwenye imani
2026-09-10 07:46:49
5
patrickodilo5
duckworth :
ww ni STAR wangu wa mwez huu SMART DADY😳😳
2026-09-10 09:11:53
4
userjeremi33
Jeremia :
Asante sana Ostaz
2026-09-10 08:31:40
0
suzenymwafongo
suzenymwafongo :
kwanzia leo wewe ni baba yangu.. sitaki kujua kama una watoto au huna ninachotaka niwe mwanao
2026-09-10 12:52:03
2
fanuel4702
@Fanuel :
Siasa na Dini kazi yao ni moja Mmoja akiharibu mwingne anakuja kutengeneza.. Siasa bila dini haiwezekani
2026-09-10 13:38:57
2
dravs171
waterproof 💧 :
nakulabali kaka mkubwa🥰🥰
2026-09-10 06:50:47
3
user4231241940421
user4231241940421 :
Milele Amina napataga aman sana nikikusikiliza mungu akutunze
2026-09-10 14:07:46
1
neema9027
neema :
uko sahihi mm naungana nanyinyi waislam kuliombea taifa
2026-09-10 14:24:21
2
user53617947136583vicker
Mwakilasa 123 :
Tunaombea katiba mpya siyo kuombea taifa juu walio kufa walikufa juu ya kutaka katiba mpya na si Kwa makosa🤔🤔🤔🤔🤔🤔
2026-09-10 11:45:17
2
chumadede202
chumadede :
sasa mtu kama huyu akiongea ukweli kama hùu,anapotezwa shida nini hamtaki kushauriwa
2026-09-10 12:44:33
2
techn9ine
Techn9ine :
umeongea ukwel ata mungu amekuona
2026-09-10 14:53:51
1
dublin581
Zainushi :
MashaAllah
2026-09-10 08:04:06
1
To see more videos from user @tedcruz71, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About