me wangu nmemvumilia mara kibao sana, na Bado nikaona ni sawa but juzi 🙌 moyo umegoma kbs kuendelea 😭 😭
2026-09-12 18:31:41
27
syciouz :
mm nimechoka lkn kwann nashindwa kumove on🥺wallah nataman kueleza kila kitu moyo wangu una mengi🥺🥺eeh mungu
2026-09-17 18:14:10
32
flower🥰 :
nmeondok mana ata neno nmechok nikawa siwez ten kusema 😭 nilimpend san ila mapenz 🙌🙌
2026-09-10 14:50:22
21
Veronika og :
mumewangu haaminigi kama niliachana nae alinidharau khaa nilichoka nilimchukia nilikua namuona kama mzoga alinibembeleza sana mm mapenzi yalikuwa yamesha Isha jaman mpaka leo haamin kama sipo nae 🙌🙌
2026-09-11 19:47:09
10
Judy 🥰🥰 :
Jana ametoka kunambya tuachane ameamua tu kwa sababu ana mambo mengi kisa nimemuuliza kwnn haupokei cm zangu haujb sms jmn m2 anakuacha bila kosa anakublock😭😭🙌🙌
2026-09-18 07:55:59
6
Chioma❤📌 :
Apo kweny ambao hatuna kazi tunanyanyaswa jaman duh💔💔💔
2026-09-30 00:48:19
14
🥰 Seyrat🥰 :
nakukubal sn
2026-09-10 06:56:50
6
@Tracy msooh :
ndo huyu Mimi Sasa nmechoka na nmeondoka after kublockiwa wakati tunamtegemea na mtoto Kwa nyumba
2026-09-11 02:59:46
2
zayinabu mpembaa :
lakin sasaivi ananikumbuka anapitia magum nikamuambia wr si una mke mzuri uliekua unamwita nimekuchok na mimi bas anatamn kunirudish lakin sitorud nyuma .mnanishaurij🥺
2026-09-18 03:22:18
2
rosekidot♒️♒️♒️ :
mm nimechok jaman naona niache tuuuh sasa jap tumeanz tukiwa hatun kitu nw tunacho nazalauloka nimeamua kusema inatosha inatosha nimeshindwa sasa😭😭😭😭😭🙌🙌🙌🙌🙌
2026-09-12 19:44:11
2
babe mwanza💕 :
m naondoka kesho
2026-10-16 14:28:11
1
Married woman❤️🫶💕💫 :
Point taken
2026-09-12 20:12:58
1
Grace Jackson 🐝♥️ :
Daah kwanini unaniongelea mm kaka
Yan kama utani tu juzi moyo ulikataa kuendelea 😳😳😩🥹
2026-09-20 03:36:45
3
hajra pembe :
moyo wng💔 uliposema inatosha hakuamini SAA hii yuko huko aelewiiiiiiii
2026-09-11 12:05:53
3
MAMA JIMMY :
nawaza kwenda mbali ila sjui niende wapi nikae mbali zaidi, namwachia mola tu🙏
2026-09-11 17:37:04
5
Dorice _store :
uyu ni Mimi kabsa ndicho ninachopitia kwa sasa yan ni inauma sasa 🥺
2026-09-10 21:34:49
3
ENA COLLECTION 👗👡 :
mimi nipo nataman kuondoka maana nimechoka halitoshi na nitaondoka siku moja
2026-09-17 20:39:43
3
Lydia :
Nilichoka nikaondoka kimya kimya, sahi nko stress free
2026-09-27 20:15:07
2
didahlo8 :
wanawake wanteseka sans mungu atupe subra
2026-10-06 06:56:37
2
ishika :
inatosha kweli kaka
2026-10-13 02:08:04
0
casie :
Moyo unalia😭😭😭😭😭
2026-09-21 12:24:41
1
NASRA ❤️👣 :
NIVO SEMA INATOSHA MAISHA YAKE NIHUZUNI 🥺
2026-09-10 21:57:34
2
Tabitha :
ilamimi nimechoka jamani
2026-09-12 19:39:52
2
Jackline torsh :
Daa 🥺 kuna time unashindwa had usem nn
2026-09-13 06:02:25
2
lety chibu :
mbn leo nakutan san na hz post au mungu kawatumia hawa watu kunip ujasir🥺
2026-10-16 03:00:41
2
To see more videos from user @bongoplugtz, please go to the Tikwm
homepage.