Kwa mara ya kwanza nimemsikiliza shabiki wa UTO mpaka mwisho unakitu...
2026-09-10 09:53:31
255
KING 👑 :
MIMI YANGA DAMU ILA MSEMAJI HATUNA SISI
2026-09-10 09:06:24
156
🥷Op wahyne 🇿🇦 :
yanga ipo kwaajili ya simba ila simba tupo kwaajili ya simba nguvu Moja hiyo ndy tofat
2026-09-10 11:24:24
192
nyangasa :
Dahh washabik wa yanga wana anza kupata akili jambo zuli sana
2026-09-10 09:13:12
246
nem :
unapoint saw ila kweny semaj la caf sis tunajua n ahmed ally
2026-09-10 17:32:20
1
stanslausi kanuth :
point sana mwana uto
2026-09-10 16:00:40
2
princedee25 :
wameanza kupata akili awa jamaa😁
2026-09-10 15:40:55
32
veni eliah :
timu Ahmeid ally tujuane
2026-09-10 16:33:41
81
swaum :
amekukosea wew cyo sis
2026-09-10 15:39:41
14
user9320483773044 :
Kuna Semaji na Mwimba Taarab.
2026-09-10 08:38:33
37
user6160536108565 :
Ahmedi Ally kaongea pointy
2026-09-10 13:52:53
1
abuu :
Yanga sie hatuna msemaji zaidi tunamuimba taarabu pia alishatuona sie mashabiki wa yanga Kama hatujielewi
2026-09-10 09:33:26
43
kendrick rich :
kwenye fact lazma tuungue mkono yanga Bado hajapata msemaji sahihi maana kuisemea taasisi si kutumia mihemko ni taalumu maana cheo si ushabiki Bali cheo ni dhamana ya kazi ambapo taalumu inatakiwa hasa control ya communication skills
2026-09-10 08:51:25
83
drjmcclassic_tz :
Mabreach fc
2026-09-10 13:18:14
1
KAHAMA J🔥 :
Nimesubilia2 umuseme vibaya msemaji wa simba ningeluka na wewe🤣🤣
2026-09-10 13:51:47
26
Chief Itinginya2 :
mmeambiya sehemu yanyele zipo sehemu nyingi pakeni brichi hata kwenyemakaliyo yen
2026-09-10 08:48:35
54
M.J42 :
Fact bro
2026-09-10 09:23:23
1
jkrine :
simba nguvu moja
2026-09-10 12:45:19
7
BRYSON MWAMALONGO :
nijua tu unaongea point nimekusikilz mpka mwisho
2026-09-10 09:45:10
19
David Sanga :
Nilicho kipenda umeamua kuzungumzia mpira japo mm Simba lkn una hoja ya msingi.
2026-09-10 10:58:51
7
GREAT :
mwanangu Asante sana nimekuelewa
2026-09-10 09:09:17
13
n@mpemb3 jr :
yanga awana msemaji
2026-09-10 08:54:35
6
DJ FIGHTER MILIO☠️☠️💪💪 :
unaingea fact sana abayosema ameobgea fact gonga like apa
2026-09-10 11:22:00
11
To see more videos from user @kiyagotz.5, please go to the Tikwm
homepage.