si ni wew bwana umenifikisha mpaka hapa nilipo leo lakin,
2026-09-10 11:01:36
39
F22 :
thanks Jesus
2026-09-11 11:23:55
0
witiwellnjabili :
ameeeeeeeeeeeeeeeen
2026-09-11 14:24:56
0
Mr dillo the don💼🌎 :
Asnt mung kwa jil ya wazaz wang na kila mtu alie husika kunilea 👏👏👏👏
2026-09-10 11:01:01
40
Toncsmation Enginearing Co Ltd :
mbona radio ya huyu mtumishi haipatikani dar jamani
2026-09-10 08:28:15
21
MWL: ELLY REVELIAN 🇮🇱🇮🇱 :
Ameen 🙏 Ameen 🙏 Ameen 🙏
2026-09-10 12:14:59
7
Edwin Junior :
niwewe mungu wetu tunao kutukuza😭😭😭🫶
2026-09-10 07:57:30
13
glorymacheal :
Ni ww Bwana
2026-09-10 18:08:14
9
GOD THE ONLY DAUGHTER :
powerful prayer
2026-09-11 13:38:06
1
hanaezekiel476 :
Asante yesu kwa mwalimu uliyetupatia
2026-09-10 14:19:07
6
TONE :
Sisi niwewe Yesu uliye zunguka maisha yangu??
si niwewe 😭😭😭😭😭😭😭🙌🏻🙌🏻
2026-09-10 13:42:39
11
Jessy 😅 :
thanks Jesus 😭😭😭😭
2026-09-10 19:28:27
0
agath mlay :
si ni wewe yesu ulie nifikisha apa
2026-09-10 14:23:50
5
NTUZU OG :
si ni wewe bwana uliyenipa mama mwenye upendo na akanilea vzr, si ni wewe mungu ulinipa baba akanilea na kunifanya niwe jasiri hakika sina cha kukulipa mungu💕💕💕💕🙏🙏🙏
2026-09-10 13:45:30
17
choosen two :
Ahsante Mungu wangu kwa kutupatia mtumishi sahihi
2026-09-10 08:43:13
9
Baby rose 🌹 :
Ameni yesu ww ndo unajua kwann nko dunian 😭😭 yesu nibadilishie haya maisha ninayo yapitia 🙏🙏
2026-09-10 09:18:33
9
💕m💕 :
Si ni wewe uliye nipa maicha bwana si ni wewe una ni fanya niwe ngisi nilivio bwana nikumbuche kuku penda kuku tumikiya naku juwa kila siku niki pata ni wewe Niki kosa ni wewe 🥺🥺🥺
2026-09-10 18:18:22
8
Lizy Queen :
si ni wewe Yesu ujawai kutupungukia tulipohisi hatuwez kuendelea si ni wewe umetuketisha mahal pa wakuu
2026-09-10 11:52:57
6
user208355100955 :
Mungu akutunze sana Mwl onesimo...hakika umefanyika Baraka kwenye Taifa hili la Tanzania
2026-09-10 07:43:28
8
mapuli78 :
Si niwewe Bwana uliyeruhusu niwe hai ad leo??! Si wewe Bwana🙌😭🥹uliyenipa familia nzuri inayokuabudu wewe!!oooh,🙌🙌😭😭😭🙌Mungu ninakushukuru!🙏🏻🙏🏻
2026-09-10 13:16:12
5
Angelina Kitomari :
mungu akutumie kaka. na usimame kwa ajili ya mkoa WA Arusha. naomba omba kwa ajili ya huo mkoa kaka
2026-09-10 10:58:20
5
To see more videos from user @gilbertkileo3, please go to the Tikwm
homepage.