@kawanga18m: JANA TULIMRUDIA MZEE WETU WA MAZENSE JAMAN NAKUSHUKURU KWA ZAWADI NDOGO TILIYO MPELEKEA NA KATUOMBEA DUA NYINGI SANA❤️❤️🙏😭 Jana baada ya kumpost huyu mzee nikapata comment kutoka kwa Mdau mwema Aliniambia nimpelekee huyu mzee laki 2 imefika mungu ambariki sana kwa moyo wake wakujali na kusaidia na atubariki sote’Furaha zao ni baraka kwetu❤️🙏 @_fundimiguu @jsmart__kijichi @mr_wakala.transportation

Kawanga18M
Kawanga18M
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 10 September 2026 07:07:25 GMT
252822
23651
720
105

Music

Download

Comments

khanjary.classic
Khanjary Classic. :
Kawanga,mpeleke na Khanjary Classic akajipatie kofia high quality kutoka Oman. Nijulishe tafadhali
2026-09-10 08:00:09
110
official.nusraah
Ukhty Nasraah💗 :
Mwenyezimungu akuzidishie kawanga
2026-09-10 07:26:17
72
user70757731782075
mimi🥰💝 :
May the lord God keep on blessing to each and every day
2026-09-11 19:21:10
0
hamzageofrey2
CHARITY💯 :
Wema ni Akiba, always God bless you forever 👏👏👏👏
2026-09-12 06:40:04
0
mk170273
MK17# :
mm ndo wa Kwanzaa kutizama video hii[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-09-10 07:11:38
39
lilydemontana
Lily De Montana :
Tumchangie huyo baba kawanga 💔🥹
2026-09-10 16:29:15
69
aysher596
💜Precious💦 :
Allah akusmamie zaid jmn nmejikut nahuznika
2026-09-10 08:24:50
79
ommy.gaih.z
>gaih🇹🇿🇿🇦 :
The Goat 👊 ❤️
2026-09-12 08:55:24
0
johnibrahimmbaga
KIDALI :
@[Hands open][Hands open][Hands open]
2026-09-11 14:07:03
0
zuuhchikwaya
aiem zuuh👌🏻 :
nauombea uzao wangu uwe kama ww🙏
2026-09-10 08:00:25
84
mtanzania977
Mtanzania :
ubarikiwe sana bro..ila nataman tumchangie zaidi uyo mzee apate hata mtaji wa kuendesha maisha yake aiseee
2026-09-10 08:16:56
56
user8205062719501
Ratifa Rajabu :
Habar yako mm jina langu n ratifa nina shida naomba unisaidie kuna mwanaume nilikutana nae mtandaon nilikuwa naish tunduma na yeye anaish tanga tukawa kwenye mahusiano alionesha kunipenda badae nikapata mimba kwa sasa mtoto ana miez sita miez miwili nyuma alinambia nihamie tanga pamoja na yeye nikauza vitu na pesa alizichukuwa yeye hapakuwa na tatizo kwa kuwa niliamin n mme wangu lakini amenigeuka ana wanawake kila kona haachi hela ya matumiz na mm huku n mgen sina ndugu sina mtu ninaejuana nae nilikuwa naomba nauli nilud tunduma nipate na ela ya chumba ili nikaanze maisha na mtoto wangu ningeludi nyumban ila sina wazazi tumezaliwa wahili tu na kaka yangu hana uwezo nakuomba unisaidie na mungu atakubaliki nafikilia hadi kumutelekeza mtoto kwa kuwa naona sina cha kufanya akili imefika mwisho nakuomba unisaidie namba yangu ni 0610941131 naomba uniongee msaada kwa watanzania nikaanze moja
2026-09-10 09:05:48
22
rukia.msoya
Rukia Msoya :
huyu kaka ameniliza jmn 😒😒
2026-09-10 08:22:05
15
letyzachary
lety :
nimejikuta nalia pekeangu jaman kawanga mungu akuweke naakulinde
2026-09-10 08:19:13
34
saumjengi3
Qauthary 💋💝 :
Wallah ukisema una matatizo 😭😭 kuna watu wanapitia wakati mgumu zaidi "" daaah
2026-09-10 08:06:44
15
familiy445
KIBAHA FINEST :
kuwa na moyo uwo uwo broo🫡
2026-09-10 09:49:20
5
neema.juma070
Neema Juma :
mungu akupe mwisho mwema kaka una moyo san
2026-09-10 08:26:53
5
user5114786354377
user5114786354377 :
sadaka bora Ije huku😂😂
2026-09-10 08:18:51
5
millymboyah
Lè Millan 💫 :
Name of song please
2026-09-10 07:30:43
14
user4731618407495
hadija gogo :
kaka zidisha zaka uwezi jua kesho Yako kama unayo saidia wasio jiweza mungu atakuripa
2026-09-10 07:50:23
7
pachamatua
NO LOVE 🙌😭🎶 :
kawanga Mungu akulinde sana miaka mingi kwani watu wote wangekuwa na moyo kama wako ingekuwa raha sana hongera sana kaka 🙏🙏🙏🙏💔💔💔💔💔💔
2026-09-10 07:30:11
20
ashurakika732
Jin juu :
nawapenda sanj kawanga na esco AllAH akufungulien milang y riski mfanye makubwa zaid amiin inshaAllah
2026-09-10 07:49:21
27
hawahusseinibrahim
Sanaipei tande(nana tandala) :
nimetokwa machozi kwa furaha Allah akupe umri mrefu ndugu unqmoyo wadhahabu
2026-09-10 12:01:36
6
To see more videos from user @kawanga18m, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About