nani kakwambia huwa tunaunganika[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-16 10:36:41
0
Miss Mdoe-Og✨ :
Hujakuwa bado mdogo wetu 😂
2026-09-19 18:10:55
35
Rotim_ckay💥💫 :
Collypiano umeuwa kaka
2026-09-16 05:04:05
3
🎀BABE🎀 CUTE🤍 🦂 :
Acheni ushamba kila mtu na msimamo wake
2026-09-12 08:49:58
107
Kilaza gang nails 💅 :
mwanaume unatakiwa kuanzisha family na sio kujiunga kwenye family
2026-09-20 09:22:30
39
jamila salumu :
kwanza alivyo ulizwa na alivyo anza kujibu tofaut
2026-10-01 08:03:21
23
baby huu💫💥💦💞 :
xi wenyew atutaki kuolewa kwanza 🤣🤣🤣
2026-09-14 12:22:36
23
yusufu iddi zagati kwetu :
oya me kuhusu Mimi nataka mwenye mtoto mana mwenye mtoto ananpenda kweli mana wengne so Kam unavo fikiria wewe mwanamke mwenye mtoto anicheki mimi
2026-10-04 17:46:53
13
❤️😘Nyara Asipo 🤍💯 :
🤣🤣🤣🤣mama marehemu unamtengeneza aje
2026-10-05 03:48:18
11
:
Mimi sio Nabii ila kuna wadada wengi watezeekea kwao😅
2026-09-19 17:35:15
25
Mr....haluni 💫💫 :
Mwenye mtoto mm hapana
2026-09-10 18:45:46
31
Bint seiph :
cyo mbaya kaongelea kwa mtazamo wake
2026-09-10 19:18:59
17
am tashaberry🇹🇷🇹🇿 :
yani huyu kijana anazo akili kuwazidi hata wenye umri mkubwa 😂😂😂
2026-09-16 10:19:32
16
ahmedy mpemba :
mimi kwa mtazamo wangu mwenye mtt anakuwa kashajifunza nini maana ya maisha wengi huwa wanateleza na wanajifunza so msiwadharau wanawake walio kuwa na watoto
2026-09-16 21:43:43
14
🦋It’s 🍀slim🦋 :
ila wadada waliozaa mnawatenga sana sio vzr mjue me mwenyewe mwakani nataka kuzaa sa itakuaje [Big LOL][Cool]
2026-09-15 01:37:14
16
🍀𝐉𝐎𝐊𝐄𝐑~𝐂𝐇𝐈𝐂𝐀𝐆𝐎💫 :
𝐍𝐀𝐓𝐀𝐊𝐀 𝐍𝐈𝐌𝐔𝐎𝐍𝐄 𝐙𝐀𝐌𝐌𝐘 𝐋𝐘𝐎𝐍😁😁
2026-09-12 05:46:59
10
𝐎𝐟𝐢𝐜𝐢𝐚𝐥 𝐰𝐚𝐧𝐝𝐞📌💎 :
hata sis hatutaki kuolewaaaaa bn msituchanganyee automatically which!
2026-09-15 23:02:17
5
baby huu💫💥💦💞 :
xix wenyew atutaki kuolewa kwanza tunapamban na watoto wetu 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-14 12:22:02
6
Sp Kijino 111 :
Mimi mwana mke mwenye mtoto namaliza tu haja zangu ila siwezi kumpenda mwana mke mwenye mtoto!
2026-09-20 06:28:03
5
@KiDD màsh :
Tujuane tuliyo kimbilia coment
2026-09-15 21:55:40
5
MUNEER💪🏻 :
Inategemea vp
2026-09-18 11:04:05
5
official aisher :
Kwaiyo uyo ambae umemkuta hana mtoto ila Ex anae sio unatakiwa kujua Ex wa mpenzi wako siku yoyot anaweza rudi tu
2026-09-16 10:54:11
7
👑 Pacha Official Ivanny ♛ :
🔥🔥🔥aghaa 🤟
2026-09-10 07:38:22
8
Binah cute💘💝💖 :
ni kwel ulixemalo jmn
2026-09-10 08:21:34
6
ℬℛℐ𝒢ℋ𝒯𝒩ℰ𝒮𝒮🥷 💦 :
Fact
2026-09-20 22:15:02
3
To see more videos from user @mojaywrld, please go to the Tikwm
homepage.