@chugga.man37: Usiruke hii post Bila kushere 😭

JE 4
JE 4
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 10 September 2026 07:34:21 GMT
89290
34410
985
3281

Music

Download

Comments

janethmomad
janethmomad :
Taqbir
2026-09-11 09:10:24
0
mwatime71
mwatime :
ALLAH AQBAR
2026-09-11 09:08:10
0
aisha.chiwawa
Aisha chiwawa :
Lailahailallah there is no other God
2026-09-11 08:30:19
1
naah.xulley3
pretty Naer🦋🦋 :
mnapo post neno la mung msihukumu mwengne ana angalia offline unatak comment bla band mnakosea san 🥺🥺
2026-09-10 18:01:42
83
matonah_cutting_killer
Matonah :
Ewe Allah mlaani huyu anaefoc apate likes na coment kwa kinyume kwa kuitaj wenzie wafe na walaaniwe asipate likes wala coment
2026-09-10 08:05:00
302
sauda.mdulah
Sauda Mdulah :
Taqbil
2026-09-10 23:50:59
0
..tuma
𝓬𝓱𝓲𝓶𝓪𝓶𝓲 🥰🥰 :
Allah atujalie mwisho mwema
2026-09-10 16:33:46
38
777_kingsman
DON_TRAVELA.army motivator :
Allah amekataza kumuombea mtu dua mbaya ispokua unatakiwa kumlingania mbon mnafanya vitu kwa kufuatishana ata muongozo wa dini hamna
2026-09-10 16:30:57
36
baby.zyder
Miss🌸 Zyder💜💋 :
Em acheni kutafuta likes na comments kw njia Hy co vzr bhn una muhukumu binadamu mwenzio Ivo wee kama una post saw post lkn usitumie maneno makali kama hayo ndugu yangu 🥺🥺🙏
2026-09-10 19:02:12
42
user8617904727266
warda :
Kuna ulazima gan wakutamk maneno yote hayo kwani si atujui umuhimu wa Qur-an
2026-09-10 12:53:24
33
hadija_brandy
HADIJA_BRAND💦🦋 :
Taqbir
2026-09-10 17:15:33
1
shebyfashio1
It’s sheby✅ :
Virtisho vya facebook havitosh mmekuja na uku ,simtumie njia nzur tu ya kufikisha ujumbe lazma mtishe watu
2026-09-10 13:30:06
23
user33653342611314
Nasur :
ukimuombe dua mtu iwe mbaya au mzuri lazima na ww utakufika tu. acha kuandika kama ivo sio vizuri
2026-09-10 10:19:18
25
amirikachema
kakie 💫💯 :
Alla maomba mundolee athabu ya kabri mamaangu kipenz , pamoja na wote waliotangulia mbele ya haki Aamiin aamiin 🤲 🙏
2026-09-11 06:30:50
6
bin_salim001
swordman :
Mtume ﷺ amesema: “Muumini si mtu wa kutukana sana, wala kulaani sana, wala kusema maneno machafu au mabaya.” (Tirmidhi)
2026-09-10 17:16:10
10
akhy0785150861
AKHY :
Naongezea alipo sema kk yangu hapo pia katika dini hakuna kulazimishina bali tunatakiwa tulunganiane kwa upole na sio hv
2026-09-10 17:52:38
6
halima.issa483
halma halma :
Allah atujalie mwisho.mwema
2026-09-10 09:47:23
13
nashy_love.2
nashy_love.2 :
ALLAH NAKUOMBA MPUNGUZIE ADHABU MAMA NA BABA ANGU
2026-09-10 20:59:28
5
kidy70
KIDIGINO 👑 :
Acha kuwaombea wa2 mabaya, Allah a2jalie mwisho mwema
2026-09-10 18:25:07
5
preciousivan691
Precious Ivan :
Allah tujalie mwisho mwema
2026-09-10 16:45:02
9
user53827206516150
tifa cute🥰 :
allah hatujaalie mwish mwem
2026-09-10 12:49:28
6
mwana5561
mwana5561 :
Allah atujalie mwisho mwema
2026-09-11 03:51:59
1
user3612367698611
ummy🤩 :
Allah akbar
2026-09-10 15:41:44
3
yassa.boy014
Yassa boy⚒️🤛💪 :
atujaalie maisha mema
2026-09-11 03:49:32
0
mubazemnele
mubazemnele :
sas kwanin uombee watu vifo vibay
2026-09-11 06:42:32
2
To see more videos from user @chugga.man37, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About