@islamic_rihla: Usipime mwanaume kwa kazi, mali au hadhi pekee. Angalia dini na tabia yake. Kwa sababu akimcha Allah, hata akimpenda binti yako atamheshimu; na wakitofautiana, hatamdhulumu. Usimtafutie binti yako mwenye mali tu mtafutie mwenye hofu ya Allah. 🎙️ Mzungumzaji SHEIKH HAMZA MANSOOR 🟣 Follow | Share | Save Islamic Rihla — Safari ya Imani #islamic_rihla #SafariYaImani #Ndoa #Wazazi #Uislamu 🟠 FOLLOW US
Abou Rufaydah
Region: MA
Thursday 10 September 2026 08:08:15 GMT
Music
Download
Comments
mjane wa ndoa :
Allah awape binti zetu waume wa kheri...Afwaan wenye dini kwa karne hii ....siwaoni
2026-09-10 10:50:41
13
user7227748517563 :
kwel sheikh
2026-10-05 05:40:35
0
amina Abdul :
allah atujalie lililo jema inshallah
2026-09-10 12:10:42
5
phina the boss :
kweli kabisa sio umri sio pesa bali ni ucha mungu na hofu ya allah baaasi
2026-09-10 19:07:25
3
hulat :
kweli shekh
2026-09-10 13:02:45
2
may swit🥰💯 :
nikwel kabis🥰🥰
2026-09-10 12:49:34
2
Twalha 🥰🥰 :
Kweli kabsa
2026-09-10 18:08:12
1
Swetmajeed :
swadakt shekh allaa akuhifadh
2026-09-11 05:59:33
1
subra n ngumu ila Ina malipo :
naikumbuka hii ilinitokea nlimjibu mom n kaka angu utaenda kuishi nae musinibangie nitaolewa kwa yule nimtakae😭😭
2026-09-11 19:08:42
3
MRS 🥰🥰 UCHEBE :
kwel kabc
2026-09-17 11:10:23
1
poshie jey :
daaah ni kweli ee mwenyezi mungu nipe atae nipenda na mwenye kujua kufanya ibada na hofu ya mungu
2026-09-10 17:18:53
1
🥰 Mesaya 💞 :
ni kweli kabsa yan
2026-09-10 08:14:00
2
nuriyanna10 :
😁😁😁
2026-09-10 17:54:48
1
zeysha :
🥰🥰🥰
2026-09-10 09:12:13
1
user7711942880795 :
😳😳😳
2026-10-06 14:00:12
0
To see more videos from user @islamic_rihla, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.