Mm niliko hakuna jiko la mkaa ila kuna vidude fulan vya kuwashia mkaaa ambao huwa tunawashia kwajili ya kufukizia udi je itawezekana niweke hapo kwenye hicho kidude kwenye moto mpaka mkaa uwe moto kisha niweke kisu njibu kaka 🙏
2026-09-11 19:51:17
1
Ian junior😍 :
jumanne in English n siku gani
2026-09-16 02:32:45
0
teddy 🌹🌹🌹 :
kaka sisi wengine hatuna jiko la mkaa tuko Gulf vp naweza kutumia jiko la gesi
2026-09-10 14:03:05
1
Juma Fella :
je nikitupa kwenye mto unao telemsha maji vp
2026-09-10 14:32:57
2
charityjovin :
nikitumia jiko la gesi dawa itafanya kazi?
2026-09-22 21:22:45
1
Rose Kavindi :
nikimaliza maji nayafanyajee namwaga au na kisu nakipeleka wapii yani
2026-09-10 09:57:32
1
CLAMATRO87 :
naeza weka Kwa choo
2026-09-10 11:18:58
1
fatuma saumu :
sasa maji unaufanyaje baadae kakaaetu jamani
2026-09-29 06:25:49
2
zabzilangede :
sasa nakitupa wap mimi nimekificha ndani je hakina madhara
2026-09-12 08:59:48
0
Juma Fella :
kwa hiyo nianze j Tatu saa 4 hadi saa 6 juma nne usiku ama juma nne 4 hadi 6 kwenda juma tano nieleweshe hapo
2026-09-10 14:37:45
1
Mungalyso :
kisha maji ni ya fanyeje
2026-09-26 20:56:54
1
Josephine Wairimu :
sawa kaka
2026-09-11 04:36:49
2
langu jicho👀 :
mi nauliza ukimlza maji wayapelekapi
2026-09-16 05:33:40
1
nandy :
Kama Sina mkaa naweza kupika na gesi kaka
2026-09-10 10:48:23
0
Scroll 📜 :
Lazima ikuwe Jumanne..naweza fanya siku nyingine ambayo sio Jumanne
na Jivu lifanyweje
2026-10-21 18:32:18
1
Züú4ly7ë :
ila hii Dunia 🙌🏽 yaan ndugu zako ndio adui zako 😥
2026-10-17 14:35:05
1
Jayden k collection :
nilifanya weee,vile watuwahotspotiana chuki na kukasirika bila sababu 🤣🤣Hadi Raha nangojea matokeo kamili.
2026-09-11 07:18:48
1
To see more videos from user @.tibaya.uakika, please go to the Tikwm
homepage.